Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

safi sana CHELSEA FC.

tumewafunza kuongea sasa..ongeeni hadi mchoke:

LIVERPOOL FC 0 - 2 CHELSEA FC[INSIDE ANFIELD]
Kama hakuna time wasting sababu dk zinaongezwa then kwanini Cole alipewa kadi ya njano kwa kupoteza muda? Kwanini hazard alimfumua teke ball boy, siku chelshit walipocheza na Swansea?

Its obvious kwamba ni ngumu kupenya watu 11 waliojazana kwenye eneo la kipa. Na moja ya kipimo cha timu inayoshambulia vizuri ni magoli...you have the answer on this...ni aibu unaongelea kufunga wakati Skrel anawazidi magoli washambuliaji wenu!
 
POOR OSOKONOI;..admit the truth.

LFC you will never walk with us.
And that is why siku mbili baada ya cheshit kucheza, hakuna mtu yeyote anayejua mpira (Except the plastic fans) anayekumbuka kwamba juzi yake cheshit walicheza
 
endeleeni kusubiri MEI 11.

tukutane msimu ujao. Kama mngekuwa bado mko UCL tungekutana FAINALI labda mngelipiza kisasi..tatizo nyie hamshiriki mashindano ya mabingwa..

:A S cry:
 
Kama hakuna time wasting sababu dk zinaongezwa then kwanini Cole alipewa kadi ya njano kwa kupoteza muda? Kwanini hazard alimfumua teke ball boy, siku chelshit walipocheza na Swansea?

Kipa anakuwa wapi wakati huo? Yaani 11 + kipa = 11 players?

Kweli hata hesabu mnashindwa alaf mnataka ubingwa?

Its obvious kwamba ni ngumu kupenya watu 11 waliojazana kwenye eneo la kipa. Na moja ya kipimo cha timu inayoshambulia vizuri ni magoli...you have the answer on this...ni aibu unaongelea kufunga wakati Skrel anawazidi magoli washambuliaji wenu!

Poleni sana LFC sisi tulitaka muwe na adabu...2-0 zimewatosha safi sana.:A S cry:
 
Sorry but, inaoneka hukupima ulichokiandika, ukaandika bila kupima...haya imagine na Liverpool nao wangekaa kwenye boski kama chelshit walivyofanya then, kungekuwa na mpira hapo?
sasa kwa nini na nyie msingepaki bus ili mzuie msifungwe? Mpira c kushinda tu magoli ni pamoja na kuzuia mkuu
 
Sorry but, inaoneka hukupima ulichokiandika, ukaandika bila kupima...haya imagine na Liverpool nao wangekaa kwenye boski kama chelshit walivyofanya then, kungekuwa na mpira hapo?

Wangejaribu waone! daadeq

Sikiliza osokonoi, unabwabwaja sana...Mourinho anaogopeka na makocha wengi kwa sababu anao uwezo wa kubadili mchezo kutokana na adui anayecheza naye na lengo la mechi.

Huwezi kuruhusu wachezaji wako wacheze high tempo ilhali baadhi yao unawahitaji fresh come wednesday! Alilisema hili mwanzoni.

Inajulikana Liver ni attack minded na weakness yao ipo kwenye kulinda goli lao. Kwa kujua hili, wakajipanga kuzuia kwanza kisha kufunga. Liver wao hawakutaka kuangalia makosa yao na mapungufu yetu. walienda kama roboti..attack attack attack..well, unafurahisha mashabiki unapokuwa na 70+ possession ila ukashindwa kufikia lengo; a draw ama win!

Kukuthibitishia kuwa tungeweza kwenda attack for attack ni game yetu ya kwanza kwani tulikuwa na kikosi chetu na hakukuwa na wazo la champions league. Ni simple logic..the best coach+team won!

Take a chill pill mate and relax!
 
Last edited by a moderator:
Nikuulize wewe :der: kwa sababu kama ulijua tunacheza 9-0-1 usingekuwa unaongea pumba jukwaani.
Umekuwa mnyonge sana leo..kasome kwenye jukwaa nimejibu 'hoja' zako ulizokuwa unasema kabla ya jana.

wewe mtoto mdogo sana kubishana na mie kwenye MPIRA WA ULAYA.

Siku zote kocha anayetumia formation ya 9-0-1 ni mwoga na hana mbinu za kitaalam na iktokea kashinda ujue kabahatsha kutokana na mistake za timu alyoiegeshea mabehewa nashangaa mnavomsifu maureen world classic manager kivipi awe world class kwa mbinu dhaifu kama hizo..!
 
Ntuzu unless hajaelewa swali limetokana na nini...torre na willy hawakutokea kwenye boksi kwenda kufunga labda kama huzungumzii mpira wa jana.
SAS the deadliest strikers wanatambulika and that is why they collect 50 goals btn them...and who is your striker again?
Hakuna beki wa majogoo aliyejifunga...acha uzushi...
Torre na Willian.

Una swali jingine nikujibu?

Nyie Si ndio mnamiliki silaha ya TRIPLE SSS?

Ilipozwa na nini hiyo silaha yenu? Maana kutwa mlikua mnaimba humu! Mmeona mlivyopoteana?

Nyie Si ndio mlikua na kejeli kwamba Terry ameshajifunga, Luiz bado Cahill. Jana Martini Sketi na Fulanayananj na Sanko SG walifanya nini?

Mnachekesha sn!

Kumbe mnatuchokoza tuanze kuwakomalia mpk mkimbie!

agosti 8 wameanza Hawa LOSERFOOL.
 
Last edited by a moderator:
Sorry but, inaoneka hukupima ulichokiandika, ukaandika bila kupima...haya imagine na Liverpool nao wangekaa kwenye boski kama chelshit walivyofanya then, kungekuwa na mpira hapo?

haijawahi kutokea..unawaza vitu ambavyo havipo.
kama nyie mngebaki nyuma tungekuja kuwashambulia.
Nyie mmetushambulia sisi tukatulia. lakini mwisho wa siku 2-0.

jifunzeni kutoka kwa PSG.
 
katazame kwenye video za YOUTUBE goli la Willian #22. mpira ulipigwa kona golini kwa Chelsea; watu wakatoka nao hadi kwenu na kupiga goli saafi..HAKUKUWA NA PENATI JANA NDO MAANA MMEFUNGWA.
Ntuzu unless hajaelewa swali limetokana na nini...torre na willy hawakutokea kwenye boksi kwenda kufunga labda kama huzungumzii mpira wa jana.
SAS the deadliest strikers wanatambulika and that is why they collect 50 goals btn them...and who is your striker again?
Hakuna beki wa majogoo aliyejifunga...acha uzushi...
 
Siku zote kocha anayetumia formation ya 9-0-1 ni mwoga na hana mbinu za kitaalam na iktokea kashinda ujue kabahatsha kutokana na mistake za timu alyoiegeshea mabehewa nashangaa mnavomsifu maureen world classic manager kivipi awe world class kwa mbinu dhaifu kama hizo..!

hakuna 'farmation' ya 9-0-1 acha kumpotosha mwanao Kelvin ..🙂
 
Ulitaka Liver na wao waweke watu 11 kwenye box yao halafu mpira uchezejwe? We are not COWARD AND CLASSLESS as you people.
teh tehtehteh teh teh teh teh teh kama hapahitajiki ujuzi, mbona nyie mlishindwa?

Hiyo moja, mbili, hao watu 18 wote wakiwa upande wetu...magoli alifunga brendan rodgers na mourinho!??? Get the hell outta here man..unajiaibisha!!!!

Kasomesome basi hata wachambuzi wa mpira wanaongeleaje game ya jana kabla hujaja kupost vipicha vyenu vya mfa maji...gademu!
 
mechi ya kwanza: KWETU: chelsea 2 - 1 liverpool fc.
mechi ya pili: KWENU: liverpool 0 - 2 chelsea fc.

aliyepaki bus alishindaje?
Wangejaribu waone! daadeq

Sikiliza osokonoi, unabwabwaja sana...Mourinho anaogopeka na makocha wengi kwa sababu anao uwezo wa kubadili mchezo kutokana na adui anayecheza naye na lengo la mechi.

Huwezi kuruhusu wachezaji wako wacheze high tempo ilhali baadhi yao unawahitaji fresh come wednesday! Alilisema hili mwanzoni.

Inajulikana Liver ni attack minded na weakness yao ipo kwenye kulinda goli lao. Kwa kujua hili, wakajipanga kuzuia kwanza kisha kufunga. Liver wao hawakutaka kuangalia makosa yao na mapungufu yetu. walienda kama roboti..attack attack attack..well, unafurahisha mashabiki unapokuwa na 70+ possession ila ukashindwa kufikia lengo; a draw ama win!

Kukuthibitishia kuwa tungeweza kwenda attack for attack ni game yetu ya kwanza kwani tulikuwa na kikosi chetu na hakukuwa na wazo la champions league. Ni simple logic..the best coach+team won!

Take a chill pill mate and relax!
 
galatasaray,
psg,
man utd,
man city,
arsenal,
spurs,
liverpool,
mechi hizo zote CHELSEA FC anabahatisha tu..

acheni utani LIVERPOOL FC = PAST TENSE.:der:

Siku zote kocha anayetumia formation ya 9-0-1 ni mwoga na hana mbinu za kitaalam na iktokea kashinda ujue kabahatsha kutokana na mistake za timu alyoiegeshea mabehewa nashangaa mnavomsifu maureen world classic manager kivipi awe world class kwa mbinu dhaifu kama hizo..!
 
JANA HAMKUPEWA PENATI...KATENI RUFAA.:shock:
Ntuzu unless hajaelewa swali limetokana na nini...torre na willy hawakutokea kwenye boksi kwenda kufunga labda kama huzungumzii mpira wa jana.
SAS the deadliest strikers wanatambulika and that is why they collect 50 goals btn them...and who is your striker again?
Hakuna beki wa majogoo aliyejifunga...acha uzushi...
 
The last time Liverpool played here[ANFIELD] Gerrard was caught on camera telling the players: "This does not slip now."

BUT YESTERDAY he was the one who made it 'slip'.
ha ha ha ha ha.

27April 2014.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom