Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The reality is always the reality. The team that doesn't defend well doesn't have many chances to win. The team that doesn't score a lot of goals - and if they also concede a lot of goals - is in trouble. A team without balance is not a team. 'When Atletico have the ball we have to defend, when we have the ball we have to attack. This is the football that I know. When the opponent has the ball you have to work defensively, you have to be organised. When you have the ball you have to try to play according to your players and according to the qualities of your opponent. -Jose Mourinho.🙂
 
kama mourinho asinge muuza mata tungebeba ubingwa angetusaidia sana kwenye game za aston villa,sunderland .mata amefunga magoli matano na asist nne ila oscar kascore mara mbili tu tena game ya arsenal so kiwango kimeshuka cha oscar

Mata hakutusaidia msimu wa 2011-2012 tuliposhika nafasi ya 6.

Wachezaji wengi wazuri wamepita CHELSEA FC ..hii si timu ya ONE MAN SHOW.
Mata alifanya yake..lakini aliposema anaondoka Chelsea fc ili apate nafasi ya kucheza na kuitwa KOMBE la DUNIA.:shock:

Mchezaji muhimu ni yule anayefikiria timu kwanza..ona ASHLEY COLE hajacheza sana msimu huu..lakini katulia.

U need players like Cole.🙂
 
ila kuna ukweli chelsea waliishiwa mbinu kwenye game ambazo tulitakiwa tushinde ....by the way leo tunaendeleza historia ambayo chelsea anayo ni team pekee inayoziondoa timu za spain zinapokutana na timeu yoyote ya uingereza
 
Wakuu hi game ya leo inaogopesha ukiangalia historia ya mwaka jana.
Dotmund waliwafunga Real Madrid
Bayern wakawafunga Barcelona

Wakakutana fainali wajerumani tu.

Jana Real Madrid kashinda
Leo Atlentico sijui itakwaje.
Je hamna harufu ya Wahispania tu kukutana fainali??
 
Mkuu Viol ebu ondoa Shaka kabisa na ukae utulie unywe Maji vzr!

Chelsea lazima ashinde Leo!

KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hi game ya leo inaogopesha ukiangalia historia ya mwaka jana.
Dotmund waliwafunga Real Madrid
Bayern wakawafunga Barcelona

Wakakutana fainali wajerumani tu.

Jana Real Madrid kashinda
Leo Atlentico sijui itakwaje.
Je hamna harufu ya Wahispania tu kukutana fainali??

harufu inaweza kuwepo..lakini ukweli wa mambo WINNING IS THE ONLY OPTION.

WE ARE WINNING TONIGHT.:coffee:
 
Tunapaki mabasi yetu,atletico watapitia wapi?
Ushindi leo muhimu,tusiangalie possession
 
mkuu pamoja sana,najua Mourinho hatatuangusha

Pamoja sn Mkuu!

Sijaona tishio lolote kutoka kwa ATM!, Zaidi wao Ndio wanatuogopa sn na wanafahamu shughuli yetu!

Tulifanya makosa Makubwa sn kwa away game ya Psg, na Ndio maana tulipokwenda kwa ATM hatukurudia tena Yale makosa!

Sasa wanakuja Darajani tukiwa Fresh na tukifahamu umuhimu Wa Hii game! Lazima wakae tu hao ATM!
 
Tunapaki mabasi yetu,atletico watapitia wapi?
Ushindi leo muhimu,tusiangalie possession

Kuna aina ya kupaki basi! Unapaki basi huku likiwa ktk Gear no moja. Linakua zito sn na ni jepesi kutupia gear zingine likakimbia sn na kugonga watu!
 
wachumba wazuri wa chelsea wako spain ni ngumu sana timu za spain kuifunga chelsea kirahisi....leo mourinho anaendeleza ile philosophy yake who has the ball has fear....
 
Mata hakutusaidia msimu wa 2011-2012 tuliposhika nafasi ya 6.

Wachezaji wengi wazuri wamepita CHELSEA FC ..hii si timu ya ONE MAN SHOW.
Mata alifanya yake..lakini aliposema anaondoka Chelsea fc ili apate nafasi ya kucheza na kuitwa KOMBE la DUNIA.:shock:

Mchezaji muhimu ni yule anayefikiria timu kwanza..ona ASHLEY COLE hajacheza sana msimu huu..lakini katulia.

U need players like Cole.🙂
Cole ana miaka 33 while Mata ana 26,Cole career yake inaelekea ukingoni soon atakimbilia Us na Cesar amecheza vizuri sana na anastahili kumweka Cole benchi but Oscar hajaonyesha lolote msimu huu.Although unasema hakuwasaidia 2011/2012 still mashabiki walimchagua yeye kuwa mchezaji bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom