huyu dogo Tomas Kalas aisee nimemkubali sana sikuteemea kama angeweza ku-defence kiac hiki,,bado tunavipaji sana the bluez, ndo nimetoka kuiangalia tena kwa mara nyingine full match namna tulivyowapiga liver
utawasikia wanasema Chelsea Fc hakuna vipaji.
Thomas Kalas #33.
Nathan Ake #27.
walikuwa kwenye list ya jana.
:smile-big: