Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

SSS hakukuwa na la maana ..nilisema tangu mwanzo mnatumia nguvu nyingi kuliko akili.
mlikuwa na nguvu nyingi kabla ya jana..leo mbona mko wachache sana?
Kamtafute mwenzako Mosdef kapotea..🙂
Time wasting from the first 10mns to the end, was bordering on the laughable all the time...CLASSLESS TEAM!!
View attachment 154397
 
...SIJAMALIZA...

article-2614491-1D67858E00000578-495_634x504.jpg

STILL CELEBRATING (AFU MTU ANIULIZE NINAFANYA KAZI SAA NGAPI)

article-2614491-1D67858E00000578-495_634x504.jpg

ONE MISTAKE..WELL..TWO GOALS!HAHAHAH

article-2614491-1D67834000000578-701_634x462.jpg

THE KING

article-2614491-1D6653F400000578-771_634x565.jpg
 
Hakuna 'time wasting' kwa sababu ndo maana kuna 'additional minutes'. FIRST HALF: ziliongezwa dakika 3 tukacheza hadi 49. Mwishoni mwa gemu ziliongezwa 4 tukacheza hadi 95. mbona husemi hilo pia?
Mlishindwaje kupenya ukuta..kama kweli nyie mna washambuliaji wazuri?

Sasa tumepata mechi 17 za EPL bila kuruhusu hata goli moja.:smile-big:
Time wasting from the first 10mns to the end, was bordering on the laughable all the time...CLASSLESS TEAM!!
View attachment 154397
 
SSS hakukuwa na la maana ..nilisema tangu mwanzo mnatumia nguvu nyingi kuliko akili.
mlikuwa na nguvu nyingi kabla ya jana..leo mbona mko wachache sana?
Kamtafute mwenzako Mosdef kapotea..🙂

Km kucheza ndani ya box ni makosa basi FA Waifungie Chelsea!

Alikuja na mlinganisho Wa wachezaji nikamwambia hiyo itabaki hapa jf Lkn sio uwanjani! Ameona mwenyewe!

Sasa anakuja na kejeri kwa Jose!

Hatukwenda ANFIELD KUMFURAHISHA OSOKONOI KWA KUCHEZEA MPIRA. Tumekwenda kuchukua point 3 na kushida!

BR ni Mdogo tu na ataendelea kujifunza mengi toka kwetu!
 
Nimezungumzia kujaza watu 11 ndani ya 18...Bytheway, ni nani na alitumia kipaji gani na ni kwenye mechi gani kutoka na mpira ndani ya boksi na kwenda kufunga?

LFC ordinary...with ball poss 75% kwa 25%..with chelshit refuse to play football and play handball...
Panahitaji kipaji tena cha kuzaliwa kuweza kutoka na na mpira ukiwa ndani ya boksi kwenda kufunga golini kwa adui.

Inashangaza zile kelele za YNWA zimezimika ghafla..LFC very ordinary.:crying:
 
huyu dogo Tomas Kalas aisee nimemkubali sana sikuteemea kama angeweza ku-defence kiac hiki,,bado tunavipaji sana the bluez, ndo nimetoka kuiangalia tena kwa mara nyingine full match namna tulivyowapiga liver
 
Nimezungumzia kujaza watu 11 ndani ya 18...Bytheway, ni nani na alitumia kipaji gani na ni kwenye mechi gani kutoka na mpira ndani ya boksi na kwenda kufunga?

LFC ordinary...with ball poss 75% kwa 25%..with chelshit refuse to play football and play handball...

sasa kwa nini na nyie msingepaki bus ili mzuie msifungwe? Mpira c kushinda tu magoli ni pamoja na kuzuia mkuu
 
Nimezungumzia kujaza watu 11 ndani ya 18...Bytheway, ni nani na alitumia kipaji gani na ni kwenye mechi gani kutoka na mpira ndani ya boksi na kwenda kufunga?

LFC ordinary...with ball poss 75% kwa 25%..with chelshit refuse to play football and play handball...

Torre na Willian.

Una swali jingine nikujibu?

Nyie Si ndio mnamiliki silaha ya TRIPLE SSS?

Ilipozwa na nini hiyo silaha yenu? Maana kutwa mlikua mnaimba humu! Mmeona mlivyopoteana?

Nyie Si ndio mlikua na kejeli kwamba Terry ameshajifunga, Luiz bado Cahill. Jana Martini Sketi na Fulanayananj na Sanko SG walifanya nini?

Mnachekesha sn!

Kumbe mnatuchokoza tuanze kuwakomalia mpk mkimbie!

agosti 8 wameanza Hawa LOSERFOOL.
 
Last edited by a moderator:
zinaitwa propaganda za LFC mpira mzuri upi bila magoli?

Walisema mabeki wao wana magoli mengi kuliko washambuliaji wa Chelsea.

Najiuliza magoli ya Chelsea yalifungwa na Washambuliaji au Mabeki?🙂
Km kucheza ndani ya box ni makosa basi FA Waifungie Chelsea!

Alikuja na mlinganisho Wa wachezaji nikamwambia hiyo itabaki hapa jf Lkn sio uwanjani! Ameona mwenyewe!

Sasa anakuja na kejeri kwa Jose!

Hatukwenda ANFIELD KUMFURAHISHA OSOKONOI KWA KUCHEZEA MPIRA. Tumekwenda kuchukua point 3 na kushida!

BR ni Mdogo tu na ataendelea kujifunza mengi toka kwetu!
 
Liverpool manager Brendan Rodgers accused Chelsea boss Jose Mourinho of "parking two buses" to get his side's 2-0 win at Anfield.
The Blues, who sat deep to contain the league leaders, were gifted Demba Ba's opener by Steven Gerrard's slip before Willian sealed the win in injury time.
Continue reading the main story
“We are a team that tried to win the game, in a sporting manner”
Brendan RodgersLiverpool manager

"They parked two buses, rather than one," Rodgers said. "From the first minute they had 10 men behind the ball.
"We were the team trying to win but we just couldn't make the breakthrough."

anajidhalilisha tu, watu wote wako nyuma mbele hakuna watu unaruhu vipi kufungwa magoli mawili? Inamaana hauna wachezaji maana wamekosa mbinu za kufunga na kuzuia pia wameshindwa
 
wacha tuwachape..:fencing:
Torre na Willian.

Una swali jingine nikujibu?

Nyie Si ndio mnamiliki silaha ya TRIPLE SSS?

Ilipozwa na nini hiyo silaha yenu? Maana kutwa mlikua mnaimba humu! Mmeona mlivyopoteana?

Nyie Si ndio mlikua na kejeli kwamba Terry ameshajifunga, Luiz bado Cahill. Jana Martini Sketi na Fulanayananj na Sanko SG walifanya nini?

Mnachekesha sn!

Kumbe mnatuchokoza tuanze kuwakomalia mpk mkimbie!

agosti 8 wameanza Hawa LOSERFOOL.
 
magoli yote yalianzia kati kati ya uwanja. makosa yao Gerrard akateleza tukachukua mpira toka 'kati' hadi golini mbona walishindwa kuzuia?
Kumbe wazembe sana hawa..
Goli la pili tumewavuta wakavutika kwenye goli letu; Dan Sturredge akapiga shuti tukaokoa mbele kwa Willian, Willian kwa Torres ..na Torres kwa Willian hatimaye gooooool;

LFC the past tense.
CFC the present tense.
anajidhalilisha tu, watu wote wako nyuma mbele hakuna watu unaruhu vipi kufungwa magoli mawili? Inamaana hauna wachezaji maana wamekosa mbinu za kufunga na kuzuia pia wameshindwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom