Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wameshakurudishia hiyo Pesa Yako?

ha ha aha aha kwani wanarudishaga? jana mechi yenu imeniboa mwanzo mwisho bro...! bora ningelala zangu tu...! huyo mwenzio @agosti8 sina muda wa kubishana nae sana...! kazi zangu hapa ofisini zitasimama bila sababu ya msingi! mwambie ajifunze uanamichezo kama wewe...make naona kavimba utadhani timu ya baba ake ile ...wakati wazungu wale hata hawajui kuna sehemu inaitwa Ntuzu huku TZ.
 
Last edited by a moderator:

kama unajua unaamini usemayo usingethubutu kusema 'sina akili' umeanza...mimi namaliza.
Ntuzu ni Ntuzu; tena namheshimu.. Mimi ni Mimi..agosti 8 the living legend.
 
ha ha aha aha kwani wanarudishaga? jana mechi yenu imeniboa mwanzo mwisho bro...! bora ningelala zangu tu...! huyo mwenzio @agosti8 sina muda wa kubishana nae sana...! kazi zangu hapa ofisini zitasimama bila sababu ya msingi! mwambie ajifunze uanamichezo kama wewe...make naona kavimba utadhani timu ya baba ake ile ...wakati wazungu wale hata hawajui kuna sehemu inaitwa Ntuzu huku TZ.

Mkuu humuelewi tu ndugu. agosti 8

Wala Hana Hayo mawazo uyasemayo! Lkn nyie Ndio mnaezua habari za uongo juu Yake!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Invisible naomba umpiga ban mkuu Magnificent kwa lugha yake ya 'matusi'.:smile-big:

Msamehe bure huyo Mkuu!

Kwasababu Dua zao Mungu hazisikii! Maana wanaiombea mabaya Chelsea Lkn hayatokei!
 
eva carneiro(chelski physio) na paramedic jt was in cloud seven.

394273_heroa.jpg
 
Attachments

  • eva carneiro.jpg
    eva carneiro.jpg
    54.1 KB · Views: 48
Mkuu kikosi kizuri .. umewaza kama mie..

angalau jambo moja tu hapo kwenye kikosi hicho;

Willian na Oscar wacheze nusu nusu. Maana Oscar anatusaidia kupiga ile mipira ya faulo karibu na goli la adui..🙂

Kucheza kwa Oscar au hata Willian sioni ubaya sana..i can sit and relax yeyote akianza. Oscar ndio namba 10 currently wa Brazil, you can't expect anything than world class from him.

Jambo ambalo nahofia litatokea tu ni kumuweka D. Luiz Defence line.
 
mtoto mzuri sana yule aisee,mi kama ni mchezaji nitakuwa naanguka makusudi ili anitibu tu

Yani Yule ata wachezaji Wa Chelsea hua wanapona haraka wakimuona tu!

Khe Khe Khe Khe Khe

Raha sn kutibiwa ms mhudumu Wa kike mzuri Yani lazima mgonjwa upone haraka! Na hasa akiwa na lugha bembelezi na nzuri! Warahi kila wakati utamuita muuguzi njoo!
 
ffor the records wadau mark schwazer anakua the oldest player in the champions leaguie knockout stages....anameplace edwin van der sar......vilevile magoalkeeper watatu walicheza mechi moja
 
ffor the records wadau mark schwazer anakua the oldest player in the champions leaguie knockout stages....anameplace edwin van der sar......vilevile magoalkeeper watatu walicheza mechi moja

tena wote wa timu moja; Chelsea FC.:smile:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom