Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

defence DAVID LUIZ haimfai...
itabidi IVANOVIC acheze #4 na CAHILL acheze #5.
Kucheza kwa Oscar au hata Willian sioni ubaya sana..i can sit and relax yeyote akianza. Oscar ndio namba 10 currently wa Brazil, you can't expect anything than world class from him.

Jambo ambalo nahofia litatokea tu ni kumuweka D. Luiz Defence line.
 
Wiki ijayo tuna kazi ngumu ya kuwafunga A Madrid. Naamini kwa spirit iliyopo tutawatoa
 
mourhino only cares about result, if you are not entertained feel free to visit a cinema
 
defence DAVID LUIZ haimfai...
itabidi IVANOVIC acheze #4 na CAHILL acheze #5.



Mkuu uko sahihi!

Pale ktk Mstari Wa nyuma atasimama, Azzp Ivanovic Cahill na Cole.

Then mbele kidogo Luiz na Ramires.

Kwahiyo kz itakua rahisi sn kwasababu Ramirez atakua kiuongo Huru kutembea popote kwasababu Luiz atasimama km mkabaji tu.

Pale mbele Kutakua na watu km wanna hivi ila yeyote atakaepangwa ni sawa tu!

Kutakua na Willian, Hazard, Oscar, Schullre.

Eto'o au Ba yeyote ni sawa!
 
Cahill bonge la defender kuna mpira jana aliokoa ingawa hakuona ila hisia zake zikamtuma akakutana nao kwa kichwa

cahill.jpg



KwT8Pq2.jpg



grTZEM8.jpg



rekY6we.jpg



iLnLwB0.jpg



p86fmzp.jpg
 
Jamani, Barcelona, adhabu yao ya kutosajili imesimamishwa!!!!!

watasajili kama kawaida this summer..

Kama namuona vile DAVID LUIZ pale Camp Nou..
 
Inashangaza sana pale unapocheza soccer la karne ya 12 halafu unamlaumu anayecheza soccer la karne ya 17.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom