Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nina akili ndo maana nacheza NUSU FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE.

wewe ungekuwa na akili kuliko mimi ungekuwa unacheza jana usiku au leo usiku. Tunazungumza na wenye akili si wewe..:der:
Hivi una akili kweli? tangu lini uliona pongezi za kulazimishana? acha kuzingua,kama mnacheza mpira mbovu msiambiwe? kazi gani nzuri mliyoifanya mpaka msifiwe? kupaki bus?
 
Kwa mpira tuliocheza jana Liverpool tunachapa vizuri sana,

Na hawa ATM tunawafunga nyumbani.

Btw nimemzimikia yule daktari wa kike wa Chelsea
 
Hivi una akili kweli? tangu lini uliona pongezi za kulazimishana? acha kuzingua,kama mnacheza mpira mbovu msiambiwe? kazi gani nzuri mliyoifanya mpaka msifiwe? kupaki bus?

Nina akili ndo maana nimeandika komenti ambayo umeielewa na tena umenijibu; huwezi kuelewana na chizi hadi uwe chizi..:der:
 
Hivi una akili kweli? tangu lini uliona pongezi za kulazimishana? acha kuzingua,kama mnacheza mpira mbovu msiambiwe? kazi gani nzuri mliyoifanya mpaka msifiwe? kupaki bus?

Nenda kadai Pesa Yako Wewe uliotoa wakurudishie!

Na ukumbuke tarehe 27 inakaribia Nakuja hapo kwako! Naona mchezo Wangu Wa Jana umekutisha! Huoni mwanya Wa KUSHINDA Ndio maana ktk thread yenu kule ulikubali wazi kuifunga Chelsea ni kz sn!

Khe Khe Khe Khe
 
Huwezi kujenga nyumba nzuri alaf ukaacha kuweka ulinzi imara..
timu nzuri lazima iwe na ulinzi imara..hata katika mfumo wa mpira nusu ya wachezaji ni ulinzi tu. au hilo huelewi.

kila timu ina wachezaji 5 wanaolinda goli.

ila katika main formation za mpira hakuna yenye 'parmanent strikers' 5.

Hivi una akili kweli? tangu lini uliona pongezi za kulazimishana? acha kuzingua,kama mnacheza mpira mbovu msiambiwe? kazi gani nzuri mliyoifanya mpaka msifiwe? kupaki bus?
 
Nina akili ndo maana nacheza NUSU FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE.

wewe ungekuwa na akili kuliko mimi ungekuwa unacheza jana usiku au leo usiku. Tunazungumza na wenye akili si wewe..:der:

Jana usiku ilicheza chelsea na ATM sio wewe! si ajabu hata danadana 5 zinakushinda....! hapa sijazungumzia "akili" unayoifikiria wewe! Punguza povu...
 
mwenye povu wewe ambaye hukucheza unakuja kupiga kelele hapa..kwenda zako rudi kwenu kwenye jukwaa la vikongwe..:der:
 
Sasa kama ilicheza Chelsea vs ATM wewe inakuhusu nini?

Wewe si utulie..dawa ikuingie?:der:
 
Nina akili ndo maana nacheza NUSU FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE.

wewe ungekuwa na akili kuliko mimi ungekuwa unacheza jana usiku au leo usiku. Tunazungumza na wenye akili si wewe..:der:

Asikuchoshe huyo!

Jose ni kocha pekee alieingia ktk nusu fainali ya CL mara 8.

Ebu mmwagie na record ya Chelsea Fc imefika fainali za CL Mara 2 na kuchukua kombe. Hizo zingine Mkuu nisaidie kuweka! Maana huyo mdau Wa Loserfool anatapatapata tu!
 
acha "nimfunze adabu":fencing: huyu maana atazoea..mwache aje!
Asikuchoshe huyo!

Jose ni kocha pekee alieingia ktk nusu fainali ya CL mara 8.

Ebu mmwagie na record ya Chelsea Fc imefika fainali za CL Mara 2 na kuchukua kombe. Hizo zingine Mkuu nisaidie kuweka! Maana huyo mdau Wa Loserfool anatapatapata tu!
 
sasa kama wewe unajua danadana 5 ulicheza jana? Au wewe ndo yule Kolo Toure..bingwa wa kujifunga?
Jana usiku ilicheza chelsea na ATM sio wewe! si ajabu hata danadana 5 zinakushinda....! hapa sijazungumzia "akili" unayoifikiria wewe! Punguza povu...
 
mwenye povu wewe ambaye hukucheza unakuja kupiga kelele hapa..kwenda zako rudi kwenu kwenye jukwaa la vikongwe..:der:

Anatokwa povu kwa Pesa Yake ya kutizamia mpira!

Khe Khe Khe Khe Khe Khe
 
FAINALI YA MUNICH tulichukua kombe bila wachezaji 3 muhimu:

JOHN TERRY hakuwepo.
BLANISLAV IVANOVIC hakuwepo.
RAUL MEIRELES hakuwepo.

Idara ya Ulinzi ilikuwa hivi: Garry Cahill na David Luiz (walinzi wa kati)
Jose Bosingwa #17 kulia, na Ashley Cole kushoto..

tuliwazuia Bayern Munich na kuchukua kombe pale pale kwao.

Basi kwa mtazamo wangu mechi hiyo ijayo with CECH and TERRY out iwe hivi (mtazamo wangu);

Kipa: Schwarzer

Beki: Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, A. Cole

Midfield: D. Luiz, Ramires

Forward: Willian, Schurrle, Hazard

Striker: Ba/Eto'o
 
Nenda kadai Pesa Yako Wewe uliotoa wakurudishie!

Na ukumbuke tarehe 27 inakaribia Nakuja hapo kwako! Naona mchezo Wangu Wa Jana umekutisha! Huoni mwanya Wa KUSHINDA Ndio maana ktk thread yenu kule ulikubali wazi kuifunga Chelsea ni kz sn!

Khe Khe Khe Khe

What if tukiwafunga siku hiyo utajisikiaje mkuu? Anfield is a special place to play football! hutaamini macho yako siku hiyo bw Ntuzu...!

#Redordead....#YNWA...!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom