Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Boring match...Hongereni wapaki Bus


Hapo kwenye 'red' .. our aim is not to entertain you 'haters'. Our objective is to WIN The UCL.

Arsenal FC haipo kwenye UCL sasa ulijihangaisha kuangalia ili iweje?:smile-big:
 
Wakuu usiku mwema tukutane kesho tena


tuko pamoja mkuu Ntuzu ...

kimya kimya kombe letu lileee...:first:

uzuri wa UCL hakuna mambo ya magoli mengi, wala mambo ya kuwa na mshambuliaji mwenye magoli mengi peke yake..UCL inataka uwe 'the last man standing' ndo ubebe kombe...

Come on Chelsea. Come on Chelsea.:clap2:
 
article-2610536-1D4516CB00000578-61_634x434.jpg
 
Umesahau kuandika na PSG walichomoka pia..oh oh na Man City na Arsenal na Man UTD...#kalagabahooooooo :baby:


Bado mechi 2 tushinde tuchukue ubingwa wenye hela nyingi kuliko EPL. watabaki na roho za korosho hawa watu..
:first:
CHAMPIONS NOT THOSE WHO NEVER LOSE..BUT THOSE WHO NEVER GIVE UP!
 
mbona wewe ulishindwa kuchomoka ukachapwa 2-1?

wakati mwingine muwe mnapongeza tukifanya kazi nzuri..punguzeni wivu mnakera sasa.
😕
Hivi una akili kweli? tangu lini uliona pongezi za kulazimishana? acha kuzingua,kama mnacheza mpira mbovu msiambiwe? kazi gani nzuri mliyoifanya mpaka msifiwe? kupaki bus?
 
FAINALI YA MUNICH tulichukua kombe bila wachezaji 3 muhimu:

JOHN TERRY hakuwepo.
BLANISLAV IVANOVIC hakuwepo.
RAUL MEIRELES hakuwepo.


Idara ya Ulinzi ilikuwa hivi: Garry Cahill na David Luiz (walinzi wa kati)
Jose Bosingwa #17 kulia, na Ashley Cole kushoto..

tuliwazuia Bayern Munich na kuchukua kombe pale pale kwao.
article-2610617-1D4565BE00000578-643_634x435.jpg



article-2610617-1D45221200000578-333_634x435.jpg


2 MEN DOWN... #KTBFFH
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom