Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hofu kwako..wauzieni Kolo Toure..Barca hawana mabeki..:smile-big:
Jamani, Barcelona, adhabu yao ya kutosajili imesimamishwa!!!!!

watasajili kama kawaida this summer..

Kama namuona vile DAVID LUIZ pale Camp Nou..
 
Barca wanamta DAVID LUIZ..Walibid kwa AGGER last summer, Liverpool wakaipiga chini offer ile..

So, sahiv watakuja kwa nguvu zote kwa Bwana LUIZ!!!

Kweli Mosdef; asante kwa kutambua kwamba David Luiz is 10x better than Kolo Toure.:smile:
 
Maana kuna siku huwa unabisha chochote..ha aha haha..
sisi tunamtumia David Luiz kama 'kiungo mkabaji'..

hahahahahah!!!

Man, David Luiz ni bonge la mchezaji aisee, ndo maana napenda aende kwa mafundi wenzake Barca kuleee!!!
 
just "Mind Games" unahitaji akili nzuri kumuelewa Jose Mourinho.

Mkuu unaielewa mind games!? Hivi kitendo cha Mourinho kulalamika baada ya kupata sare na westham kutokana na Westham kupaki basi kisha Mourinho kusema kuwa kitendo hicho cha westham kupaki basi ulikuwa ni Mchezo wa karne ya 17 ilikuwa ni Mind game!?
 
Mind games..WE know our coach better than you do!:smile:
 
hahahahahah!!!

Man, David Luiz ni bonge la mchezaji aisee, ndo maana napenda aende kwa mafundi wenzake Barca kuleee!!!

Hivi kumbe Barca ni mafundi kuliko LFC?
Maana kama umesema ni beki mzuri; nilitegema useme kwamba LFC itamsajili maana DAVID LUIZ ni bora kuliko KOLO TOURE kama ulivyosema mwenyewe mkuu Mosdef.

Hii imekaaje?
 
Mind games..WE know our coach better than you do!:smile:

issue siyo kumuelewa kocha wenu mkuu ishu ni kwamba unaelewa hiyo mind games na alichokiongea Mourhnho ilikuwa ni mind game!!? So Hivi ndivyo unavyomuelewa kocha wako?
 
UEFA team of the week
1.Schwarzer 2.Azpliculeta 3.Coentrao 4.Cahil 5.Tery 6.Luiz 7.Roben 8.Modrick 9.Benzema 10.Koke 11.Di maria
 
Hivi kumbe Barca ni mafundi kuliko LFC?
Maana kama umesema ni beki mzuri; nilitegema useme kwamba LFC itamsajili maana DAVID LUIZ ni bora kuliko KOLO TOURE kama ulivyosema mwenyewe mkuu Mosdef.

Hii imekaaje?

Liverpool haina haja na David Luiz..Me naongelea team ambayo imeonyesha nia ya kumtaka huyo Luiz..Barca wanamhitaj Luiz..so hata kama Bayern, Madrid, dortmund na zingnezo zingekuwa znamuhitaji, ningezitaja hapa!!!

Barca ina mafund wengi saaana kuliko #LFC , na Barca pia ina Mafundi wengi mno kuliko Chelshit..mfano mdogo tu, ni kuwa mchezaj wako muhimu saaaana Hazard, hawezi kupata namba yoyote Barcelona kule..

Barca wana tatizo la Centre-backs TU!!!
 
are you sure?
 
Arsenal and Liverpool target Eden Hazard admits he is flattered by reported interest from Champions League winners Barcelona.

The Lille midfielder has been continually linked with a move to the Barclay's Premier League after scoring seven goals for the French champions.

And the Belgian international was delighted to hear of Barca's reputed interest.- source Daily Mail UK

Barcelona CF walikuwa wanamhitaji huyu dogo #17 tanga yuko Lille.

Similar Discussions

Back
Top Bottom