Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

daaa tores mm huwa namhesabu kama ni kadi nyekundu yupo kama hayupo vileee.

all in all Leo mkigongwa hata kimoko tuu roho yangu itasuuzika Sana.

tena ikiwezekana mfungashwe viroba na vijifurushi vyenu mapemaaaa.
msitujazie inzi

hahaahahah,,vipi mkuu umeyaonaje matokeo??
 
ifike mahala huyu jamaa afundishe watu mpira wa kisasa! Nakwenda kuangalia mpira kwa pesa yangu niliyoitafuta kwa jasho! Halafu sienjoy football hata kidogo,hii siyo sawa! Huu mtindo wa soka la mwaka 47 uishe sasa.

Kama ulitegemea an open game leo nina wasiwasi kama unazifahamu vizuri hizi team.
Kama kuna team ya kulaumiwa basi ni ATM, kama wao wanacheza mpira wa 2014 Vs ule wa 1947 (according to you) kwanini washindwe kuwafunga wa mwaka 47 tena kwenye uwanja wao wa nyumbani?
 
Mkuu Mourinho ulisema hapo nyuma kwamba kule kwenu Italy km timu imebaki moja hivi Yani wote mnakua kitu kimoja!

Lkn The Magnificent mdau Wa liver kwake yeye matokeo yangekua mazuri km Chelsea angeppteza!

Khe Khe Khe Ndio maana anaionea huruma pesa yake!
 
Last edited by a moderator:
Yaani afadhali ningelala tu kuliko kuhangaika na huu mpira!! mourinho na mimbinu yake too boring.mpira mbovu kama nini sijui....huyu kweli adui wa football!!!
cc: Ntuzu agosti 8
 
Wewe ni ATM na Haya matokeo yamekukatisha tamas Ndio maana unakuja na visababu!

Khe Khe Khe Khe
 
Last edited by a moderator:
hawa ATM naona nilijua timu ya maana kumbe hamna lolote...tactic yao moja tu kupiga mipira mirefu kwenye penati boksi wakimlenga costa na diego garcia...hivi na akili zao kweli walifikiri watafunga timu ya EPL kwa krosi na long balls!! huyu Diego Simeoni hata asije MAN UTD!!!! wanawapa mdomo hawa akina Ntuzu agosti 8 Mentor na kocha wao 'special one'
 
Ulisema wewe ATM tu! Inakuaje Leo unawayawaya?
 
Last edited by a moderator:
Khe Khe Khe Khe

Ulisema wewe ATM tu! Inakuaje Leo unawayawaya?

mimi timu yangu ikicheza hovyo nakubali na naweka wazi sio kama wewe na mwenzio mtaanza kulialia na kumlaumu refa....ila refa wa leo mzuri ameimudu game.....second leg si mtafunguka kutafuta goli na nyinyi hapo ndio mtajua ATM inatoa hela tutawapiga EURO 2 tu
 
Mwisho Wa ATM tarehe 30!

Kaa utulie!

Usiku mwema Mkuu!
 
what a draw without Hazard Etoo, cech and terry for the last twenty minutes....mourinho genius of the game tactics ,for the records three goalkepeers of one team were on the pitch
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom