Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

What if tukiwafunga siku hiyo utajisikiaje mkuu? Anfield is a special place to play football! hutaamini macho yako siku hiyo bw Ntuzu...!

#Redordead....#YNWA...!

:der:What if 'mkitufunga' siku hiyo alaf tukaenda kuchukua UCL mjini LISBON? itaumaa sana kwako maana umekuwa unataka tutoke hatutoki..

acha "nimfunze adabu":fencing: huyu maana atazoea..mwache aje!

Uzuri tuko wote hapa! Atakombia mwenyewe tu hapa!

Mentor kampa moja zima zima Nashangaa anakomaa tu!

Khe Khe Khe Khe
 
Last edited by a moderator:
sasa kama wewe unajua danadana 5 ulicheza jana? Au wewe ndo yule Kolo Toure..bingwa wa kujifunga?

Sikucheza jana.niliangalia mpira kupitial TV hapa Bongo! Mpira ulikiwa unachezwa Madrid,Spain! Vipi ndugu yangu,wewe ulicheza jana? nisije kuwa nabishana na Demba Ba hapa....!
 
What if tukiwafunga siku hiyo utajisikiaje mkuu? Anfield is a special place to play football! hutaamini macho yako siku hiyo bw Ntuzu...!

#Redordead....#YNWA...!

Mkuu :der:
hapo kwenye rangi nyekundu..tutasubiri hadi hiyo 'IF' itokee..lakini bila 'IF' mtalia sana.
 
ifike mahala huyu jamaa afundishe watu mpira wa kisasa! Nakwenda kuangalia mpira kwa pesa yangu niliyoitafuta kwa jasho! Halafu sienjoy football hata kidogo,hii siyo sawa! Huu mtindo wa soka la mwaka 47 uishe sasa.

Mkuu nenda Zanzibar!"Chenga twawala"

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
tutacheka baadae lakini wacha kwanza dawa ikuingie..maana utazoea wewe kutaka kuvuruga mafanikio ya watu...

tunakuja..we have nothing to lose..:boxing:
Sikucheza jana.niliangalia mpira kupitial TV hapa Bongo! Mpira ulikiwa unachezwa Madrid,Spain! Vipi ndugu yangu,wewe ulicheza jana? nisije kuwa nabishana na Demba Ba hapa....!
 
Basi kwa mtazamo wangu mechi hiyo ijayo with CECH and TERRY out iwe hivi (mtazamo wangu);

Kipa: Schwarzer

Beki: Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, A. Cole

Midfield: D. Luiz, Ramires

Forward: Willian, Schurrle, Hazard

Striker: Ba/Eto'o

Mkuu Mentor umepatia haswaaaa! Hicho Ndio kikosi kitacholisongesha kwa ATM na kusonga mbele!
 
Last edited by a moderator:

What if tukiwafunga siku hiyo utajisikiaje mkuu? Anfield is a special place to play football! hutaamini macho yako siku hiyo bw Ntuzu...!

#Redordead....#YNWA...!

Wameshakurudishia hiyo Pesa Yako?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kikosi kizuri .. umewaza kama mie..

angalau jambo moja tu hapo kwenye kikosi hicho;

Willian na Oscar wacheze nusu nusu. Maana Oscar anatusaidia kupiga ile mipira ya faulo karibu na goli la adui..🙂
Basi kwa mtazamo wangu mechi hiyo ijayo with CECH and TERRY out iwe hivi (mtazamo wangu);

Kipa: Schwarzer

Beki: Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, A. Cole

Midfield: D. Luiz, Ramires

Forward: Willian, Schurrle, Hazard

Striker: Ba/Eto'o
 
Mkuu :der:
hapo kwenye rangi nyekundu..tutasubiri hadi hiyo 'IF' itokee..lakini bila 'IF' mtalia sana.

Na wasifikiri km tukifika Kwao tutacheza mpira km Wa jana kwa ATM

Matic na Salah watakuwepo!
 
Mkuu kikosi kizuri .. umewaza kama mie..

angalau jambo moja tu hapo kwenye kikosi hicho;

Willian na Oscar wacheze nusu nusu. Maana Oscar anatusaidia kupiga ile mipira ya faulo karibu na goli la adui..🙂
Sijawahi kuona OSCAR akifunga goli kwa mpira uliokufa, zaidi anagongesha besela tu.....kazi mnayo,lazima mkimbizwe pale daraja bovu.
 
nenda YOUTUBE katazame CHELSEA 1-0 STOKE CITY FA CUP 2014. alaf uje udanganye tena hapa jukwaani sawa "specialist in failure"?
Sijawahi kuona OSCAR akifunga goli kwa mpira uliokufa, zaidi anagongesha besela tu.....kazi mnayo,lazima mkimbizwe pale daraja bovu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom