Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

dah kwa mpira kama ule wa jana, kwa kweli ubingwa pale darajani itakuwa ni ndoto kabisa, ilikuwa very poor performance tangu mwitaliano aingie pale darajani,
 
Poleni sana KISALE, MASANILO,AB et al baada ya Man kumpiga Wigan 5 ,Arsenal akapiga 4 nikajua labda mtapiga 7 kumbe hamna lolote
BIKRA imeondoka wakati muafaka na tumerudi kileleni sasa msahau ubingwa mtaendelea kupiga kelele wanabebwa
 
Tumepigwa na tulizidiwa Czec red kadi ya kizushi na Cole kuumia Wigan 3 Chelsea 1. Wacha nikalewe tu sasa![/QUOTE]
Kamanda umeamka salama
Subiri TORRES naye anakuja karibuni dozi zimeanza
 
.......tumerudi kileleni sasa msahau ubingwa mtaendelea kupiga kelele wanabebwa

Nadhani upo sawa....

Chelsea ubingwa wasahau tena. Sijui tatizo ni nini pale. Uzee?? Kocha?

Hata ukikumbuka mechi dhidi ya Hull na Stoke, kiwango kilikuwa sio kabisa na zile team zilifungwa kwa woga tu!
 
dah kwa mpira kama ule wa jana, kwa kweli ubingwa pale darajani itakuwa ni ndoto kabisa, ilikuwa very poor performance tangu mwitaliano aingie pale darajani,
mkuu mwenzetu ulitazama chanel gani maana sie hatukuona hiyo game
 
KIGOGO ANCELOTI mwenyewe amekiri kuwa jana ndio Chelsea ilicheza chini ya kiwango tangu atue darajani
 
The red card was harsh and the 3rd goal was offside, however, it made no difference as down to 9 men we were in no position to score.

Tunajipanga upya!

Wigan would never have won that match had Cech not been sent off

Phil DOWD is a suck!

Pole mkuu Masa .....mwenzio akinyolewa wewe tia maji mkuu.......ulituzomea sana cc u c now, unaanza kulalama mara red card unfair, sijui offside....!Kubali mmechabangwa na vijana...jipange vizuri...next weekend reds wanaweza kuwado tena kabla kidonda hakijapona!
 
Nilikambia mlipata bahati game zenu za mwanzo zilikuwa nyepesi tusubiri next week tuone
 
Poleni watani, mara nyingi cha kwanza hakisahauliki

...ha ha haa 😀😀😀

Nilikambia mlipata bahati game zenu za mwanzo zilikuwa nyepesi tusubiri next week tuone

...waambie! ...Ancelotti naanza kumtabiria mabaya kabla msimu kuisha. Abramovich anatamani Chelsea icheze kama Arsenal lakini ishinde kama Manure!
 
Frank-Lampard-Wigan-Chelsea-Premier-League-PA_2365582.jpg



We will be there to fight another day.Isiwe tatizo!
 
...ha ha ha aaa, duuuh...huwapi nafasi hata ya kujipoza na maji? 😀

Mimi wasiwasi wangu kwa Chelsea ni kukumbwa na dhoruba kama lililowakumba Arsenal na Totenhman. Maana wanakutana na el-nino & the gang next week. Kwa hiyo watajikuta na dhoruba la back to back defeats. Duh nawaonea huruma kweli...😀
 
ballack_280x390_897982a.jpg


Leo nadhani leo tutakuwa na furaha tukijiandaa kuwapiga Liverpool mwishoni mwa week. Nawahi pub kuangalia hili game. All the best wapenzi wa Chelsea the bluez
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom