daaaah kaka mswalie mtume.mbona ntahama mtaa tukifungwaTumeshinda 1-0 ila tumecheza vibaya, tumekuwa tukipoteza pass kirahisi na kwenye defense umakini haukuwepo, tukicheza hivi Liverpool wanatufunga in the end of the week
Ab-T
Mkuu kwanini hii thread yetu isibadilishwe heading yake kwa kuondoa hiyo "2008-2009". Hii itasaidia kutoonekana imepitwa na wakati na pia kuepuka kufungua threads kila msimu mpya. Ni mawazo yangu tu chief wangu.
Mimi moyo unajaribu kukubaliana nawe lakini napingana nao nahisi matokeo yatakuwa ni sare 2-2 ama 3-3 tutegemee mechi itakuwa na karamu ya magoli.Actually game ni kama masaa mawili matatu yajayo. Gemu ya kukata na mundu.
Naona wazee wa kubebwa, Man U, watakuwa pembeni wakila mvinyo taratibu huku wakiombea ngoma iwe droo.
Nways, mimi naweka pesa yangu kwa mcheza kwao hutuzwa. Sijui wewe.
Nini litamzuia Drogba kufunga goli la ushindi?Mimi moyo unajaribu kukubaliana nawe lakini napingana nao nahisi matokeo yatakuwa ni sare 2-2 ama 3-3 tutegemee mechi itakuwa na karamu ya magoli.
Nini litamzuia Drogba kufunga goli la ushindi?
KAPONA ila lukas anatuyeyusha ngoja tumuone aquilani akipona atakuaje
Wapi leo Masanilo,Peasant,Kigogo n.k karibu tuchangamshe kijiwe chetu hapa home.Mida ndo inakaria.