Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Chelshit wanafanya mpira unakuwa Mgumu saana..
Aina gani ya mpira hio, Mpira hauna hata raha kabisa!!!
Ladha ya mpira imepotea kabisa..
kwa hiyo atletico ndio wamepoozesha ladha ya mpira

Haya majamaa yakipata kagoli ndo yataparl garimoshi kabisa! HT 0-0
yani wakifika huku mtaani hatupumui, ni makelele mtindo mmoja, so far so good kwa Ntuzu kuweza kuegesha behewa la mwakiembe barabarani ila vijamaa vya atm vitapenya tu hata iwe kwa bodaboda haijalishi
Huu mtindo wa kupark semi siyo mzuri kabisaaa! Maureen anatunyima raha ya Mpira bwana!
kwa hiyo atletico ndio wamepoozesha ladha ya mpira
OK. Usiku mwema
Kaka, unaangalia match, nnayoangalia mimi???
kaka tunaangalia wote chelsea wamewezakukaba nafasi na atletico hawawezi kuwafunga chelsea kwa style waliyoanza nayo unaweza uka ona chelsea hawachezi ila ATM wamekosa mbinu ya tatu
Nafikiri timu kama chelsea zisiwe zinaruhusiwa kucheza uefa maana wanaharibu ladha ya soka