ziendelee ili kupunguza idadi ya magoli..
ha ha ha haaa, haya bana
ziendelee ili kupunguza idadi ya magoli..
ziendelee ili kupunguza idadi ya magoli..
ndetichia are you supporting Chelshit????
Mbona mapema sana mkuu,
the blues wamekunyima raha ?
kuna uwezekano mkubwa jamaa akawa mnazi wa contenaz
ndetichia are you supporting Chelshit????
Me najua ni mdau mashuhuri wa Man City, Asa nashangaa leo!!!!!
why you said so dude...
Me najua ni mdau mashuhuri wa Man City, Asa nashangaa leo!!!!!
Si mbaya hata wewe njoo.
Naona tu unavyowatetea leo!!!!
Naona tu unavyowatetea leo!!!!
si watetei ila atl wanaboa baada ya kufunga wanapaka poda..
Anajua ndo wawakilishi wa EPL katika UCL ko hakuna ubaya.