Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ifike mahala huyu jamaa afundishe watu mpira wa kisasa! Nakwenda kuangalia mpira kwa pesa yangu niliyoitafuta kwa jasho! Halafu sienjoy football hata kidogo,hii siyo sawa! Huu mtindo wa soka la mwaka 47 uishe sasa.
 
Shwari bila shari Mkuu, nasubiria mtanange wa leo ila sidhani kama kutakua na mpira mzuri saana kwa sababu hizi team zote ni team za kujaza watu kwenye dimba la chini na kushambulia kwa kushtukiza
Sizinga nachelea kusema "I told you so"
 
Last edited by a moderator:
ifike mahala huyu jamaa afundishe watu mpira wa kisasa! Nakwenda kuangalia mpira kwa pesa yangu niliyoitafuta kwa jasho! Halafu sienjoy football hata kidogo,hii siyo sawa! Huu mtindo wa soka la mwaka 47 uishe sasa.

Khe Khe Khe Khe

Mkuu siku tukija kwako cha kwanza Kikubwa DROO hiyo ya Kwetu then lazima tukupige! Umeona ATM walivyochanganyikiwa?
 
what you want isnt chelsea want
 
Khe Khe Khe Khe

Mkuu siku tukija kwako cha kwanza Kikubwa DROO hiyo ya Kwetu then lazima tukupige! Umeona ATM walivyochanganyikiwa?

Huku PL, tuachie sisi Ntuzu, we una chako kipi huku???

Usiku mwema Aisee!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom