NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
I love you chelsea.
Thankyu vere machiiii!!
I love you chelsea.
tatizo atl wanataka costa afunge ndio inawakost..Machelshit bwana, ndo yanacheza gwaride ndani humo!!!
tatizo atl wanataka costa afunge ndio inawakost..
Dakika 15 za mwisho the blues watapata goli hivyo mnao iombea mabaya nawashauri mlog off.
Litatokea wapi hapo hilo goal la Chelshit..???!!!!
wadau dakika ya ngapi?maana hapa pressure inapanda na kushuka
Golini mkuu.
Wazee wa kupaki basi
wadau dakika ya ngapi?maana hapa pressure inapanda na kushuka