Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa

Kumbe timu nyingine zinaposhindwa huwa ni halali bali mafioso khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee safi sana, pamoja na mpunga wote mliotoa mmeliwa .... .... . .Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Wazee wa kubebwa leo imekula kwao.
 
Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa

teh teh teh teh naona mpira wa Tanzania ndio utakaa ukuue tehtehtehtehtehtehtehtehteh!!
Wapi Mark Dean!?
 
sina hela kaka.....angalia hio tarehe 27 usije kuwa wa tatu....halafu mimi sio Liverpool naongea reality tu.
Ntuzu unakumbuka kauli yangu?? angalia tarehe 27 usije kuwa wa tatu badala ya kuongoza ligi

cc😡agosti 8
 
Last edited by a moderator:
mkuu,mimi ni man utd lakini nilishasema timu inayoshinda game 10 mfululizo kipindi hiki cha january-may ndio huwa bingwa...hivyo ndio man utd alikuwa anafanya...sio chelsea unamfunga arsenal 6-0 mechi inayofuata unafungwa na c.palace unashinda kiajajbuajabu mechi inayofuata halafu unafungwa tena na washukao daraja!!!! halafu kuna watu wanapiga kelele hapa eti wana timu ya ubingwa!!!! Liverpool wako on fire,mwaka wao huu.....na kesho wanacheza na norwich ambao mechi tatu zilizopita wamewafunga si chini ya tano kila mechi!!!!

Mkuu I salute You!!Umeongea ukweli yani ule upenzi wa Man U umeuweka kando, Wewe ni mpenzi wa soccer si Mpenzi wa Team moja tu.
 
article-2608299-1D34D97B00000578-751_964x386.jpg




article-2608299-1D34931D00000578-325_634x326.jpg



article-2608299-1D34F57400000578-460_634x419.jpg



article-2608299-1D34CF9B00000578-994_634x427.jpg


.... .. assistant Rui Faria was sent to the stands
after arguing with Mike Dean over the penalty decision

 
Watani hii ngoma bado sana. Siamini kama LFC atashinda games zote zimebaki. Msife moyo. This will go down the wire up until last day of EPL.
Wala msife moyo hivyo
 
Chelsick msilalamike sana Loser fools watafungwa kesho mtapumua kiduchu khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mentor ngoja nikusaidie leo...

Sunderlands-Connor-Wickha-012.jpg
Half-time score: Chelsea 1-1 Sunderland" height="399" width="760">
Jozy-Altidore-appeals-for-021.jpg

Fabio-Borini-scores-019.jpg

Fabio-Borini-celebrates-014.jpg

Chelseas-manager-Mourinho-020.jpg

Chelseas-Brazilian-midfie-018.jpg
Final score: Chelsea 1-2 Sunderland " height="494" width="400">
 
Last edited by a moderator:
Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa

Kweli mkuu maana uyu Jose alishakufa dhidi ya WBA akapewa tuta la utata dk94 record yake isivunjwe!!Mwamuzi leo Ramires alikua anacheza boxing ye kamuacha badala ya kumtoa!!Game ya LFC Web akameza tuta Etoo anavaa mwili wa Suarez badala ya kukaba mpira etc. Ha ha ha ha ha ha kweli maamuzi mabovu tu
 
Teh teh teh teh teh teh Dada Jose Moureen amepoteza Virginity yake pale Darajani sasa sijui itakuwaje huko mbeleni teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeh!!
Wapi Ntuzu

Huyu jamaa Ntuzu kakikmbia live...halafu kesho atakataa kwamba hajatoka nduki. Sio kawaida yake kukaa kimya hivi hata awe ba dharura gani.
 
Last edited by a moderator:
Rafiki yangu Ntuzu njoo jukwaani usituache wapweke mkuu...au umeenda kule jukwaa letu la LFC?

Usishangae sana kwa kilichokupata coz huyo Borini ni mchezaji wetu na leo katufanyia kazi nzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu maana uyu Jose alishakufa dhidi ya WBA akapewa tuta la utata dk94 record yake isivunjwe!!Mwamuzi leo Ramires alikua anacheza boxing ye kamuacha badala ya kumtoa!!Game ya LFC Web akameza tuta Etoo anavaa mwili wa Suarez badala ya kukaba mpira etc. Ha ha ha ha ha ha kweli maamuzi mabovu tu

Unataka kunambia kwamba leo MOU-Reen kwa mara ya kwanza anatolewa bikra mkuu? Kavua nguo kweli? Tena pale nyumbani kwake chumbani? Mh ngoja niangalie records kwanza, nisiamini cha kuambiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom