Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsick msilalamike sana Loser fools watafungwa kesho mtapumua kiduchu khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

MKUU sio kirahisi kama mnavyofikiria coz Norwich tuna record nao nzuri sana ya kuwagonga aisee tena magori mengi mengi tuuu sasa stay tuned hiyo kesho
 
ImageUploadedByJamiiForums1397935895.426254.jpg

hahahahahah!!!!!

DAMN!!!!
 
jamani wadau hakuna hata mwenye NAMBA ya #ntuzu

maaana nasikia kuna shabiki wa Chelsea kajinyonga wakati game inaendelea .
plz plz jmani
Nimeanza kuona umuhimu wa kepeana namba na email manake mtu akiwa kimya huku unamtafuta kule...Tehe Teheeeee teheee Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Mentor ngoja nikusaidie leo...

Sunderlands-Connor-Wickha-012.jpg
Half-time score: Chelsea 1-1 Sunderland" height="399" width="760">
Jozy-Altidore-appeals-for-021.jpg

Fabio-Borini-scores-019.jpg

Fabio-Borini-celebrates-014.jpg

Chelseas-manager-Mourinho-020.jpg

Chelseas-Brazilian-midfie-018.jpg
Final score: Chelsea 1-2 Sunderland " height="494" width="400">

Mhh Chelsea kagongwa na Sunderland kweli naamini BPL haina zile tunazoziita timu dhaifu! Poleni sana Chelsea fans.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu I salute You!!Umeongea ukweli yani ule upenzi wa Man U umeuweka kando, Wewe ni mpenzi wa soccer si Mpenzi wa Team moja tu.

mkuu mimi sio kama Ntuza na agosti 8 ambao wanajihakikishia ushindi kabla mpira haujachezwa achilia mbali kuisha!!! kwamba wao tayari mabingwa,kwamba wao tayari washawafunga Sunderland,kwamba wao tayari washawafunga Liverpoll!!! wanaongea sana hawa waungwana kama kocha wao vile.....sasa hivi wamekimbia hawaonekani hapa tunawajazia kurasa tu za thread yao.......
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana vijana wa "ruvu", hatimaye vijana wa "magufuli" wameonyesha umahili wa kucheza na madaraja magumu hata kama mvua ni za masika, magari lazima yapite tu hata kama yana uwezo mdogo wa cc 1200 bado yatapita tu.
 
mkuu mimi sio kama Ntuza na agosti 8 ambao wanajihakikishia ushindi kabla mpira haujachezwa achilia mbali kuisha!!! kwamba wao tayari mabingwa,kwamba wao tayari washawafunga Sunderland,kwamba wao tayari washawafunga Liverpoll!!! wanaongea sana hawa waungwana kama kocha wao vile.....sasa hivi wamekimbia hawaonekani hapa tunawajazia kurasa tu za thread yao.......

Leo sikubahatika kuhudhuria mechi yao kwani vipi wametoka suluhu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom