Mkuu Nzi kwa heshima yako jaribu kuwa mstaarabu hapa kwenye jukwaa la wastaarabu:
kocha anaweza kumbadili mchezaji acheze majukumu tofauti; kwa hiyo profile ya mchezaji inaweza kubadilika.
MIFANO:
Michael Essien alitoka Lyon ya Ufaransa kuja Chelsea; alizoea kucheza 'winga' JOSE MOURINHO akambadili akawa anacheza kiungo wa ndani(kiungo wa kati) na hata akawa kiungo mkabaji mzuri sana.
Cesar Azpilicueta "Dave" alitoka Marseille Ufaransa akiwa beki wa kulia. lakini hapa Chelsea Fc anatumika kama beki wa kushoto;
Blanislav Ivanovic ni beki wa kati; kule kwao Serbia anacheza na Nemanja Vidic katika jukumu la beki #4 au #5. Lakini Chelsea wanamtumia Ivanovic kama beki wa kulia, yaani, #2.
Lahm mchezaji wa Bayern Munich ambaye ni kapteni wa timu hiyo; yeye kwa mazoea ni beki wa kulia. lakini mara kwa mara amechezeshwa kama kiungo mkabaji na kocha wa timu hiyo Josep Guardiola. Kwenye mfumo wa 4-1-4-1.
Christiano Ronaldo ni 'winga' lakini kwenye mfumo wa Real Madrid ambao mara nyingi wanacheza 4-3-3. Ronaldo hucheza kama mshambuliaji: wanakuwa hivi Bale-Benzema-Ronaldo.
bisha tena Nzi.
cc; Mentor, ntuzu, Kalou, etc.
Mdudu
Nzi,
Kutokana na formation ya timu wakati wa mechi...hao Oscar, Willian na Schurrle wanatumiwa kwa majina tofauti; midfield au forward.
fikra mgando:
unakariri sana wewe. nyie ndo wale mnaotaka mshambuliaji lazima avae jezi #9 mgongoni.
Hispania wanapomchezesha Fabregas mbele anakuwa mshambuliaji wewe unasema yeye ni kiungo?
Kweli nimeamini wewe ni Nzi;
Mkuu
agosti 8 ndugu
Nzi amejikita Zaidi Ktk PROFILE za wachezaji na maelezo Yao pale Lkn si katika matumizi ya mchezaji uwanjani!
Kocha anamtumia mchezaji kutokana na uwezo wake na timu ambayo anayokutana nayo!
Timu ya Chelsea ninayoishabikia mimi imekua inatumia wachezaji wake baadhi tofauti na profile zao zinavyosema Ktk timu au Ktk mataifa Yao!
je, mkuu Ntuzu; nimekosea kumjibu Nzi?
Umepatia sn Mkuu! Majibu yako na Yangu kwa
Nzi hayana tofauti sn! Tumempa ufafanuzi mzuri tu!
Nyiye nyote mnachanganya kati ya
playing positions na
playing styles
Juu ya playing positions, nimeshaeleza hapo awali.
Sasa ngoja nieleze juu ya playing styles:
1.
Backline - hapa unapata:
a.
Libero ama
sweeper - mfano, Beckenbauer 'Der Kaiser', Franco Baresi 'Little One', Bobby Moore 'the 1st gentleman of English footie', F. Hierro 'The Marshal', A. Nesta 'The Minister of Defence', Lucio, Rio, Matthias Sammer, Vicent Kompany, Thiago Silva, Blanc n.k.
b.
Stopper - mfano, Vidic, Jaap Stam 'The rock of Kampen', F. Cannavaro 'The Berlin Wall, Tony Adams 'Mr. Arsenal', John Terry 'England's Brave', Sol Campbell n.k.
c.
Attacking left and
right backs - mfano, Cafu 'The Express Train/The Commuter', R. Carlos 'The Bullet Man', Maicon, G. Zambrotta 'the Mermaid', J. Zanetti 'El Tractor', Dan Alves, B. Lizarazu, Ashley Cole, P. Lahm, Paolo Maldini 'El Capitano' n.k.
NB: (a) and (b) wanaangukia katika centre backs.
2.
Midfield - hapa unapata:
a.
Box to box ama
midflield general - mfano, P. Vieira 'the Big Sausage', R. Keane 'Keano', S. Gerrard, Lothar Matthaus 'Der Terminator', Gattuso 'Rhino', E. Davids, Bastain Schweinsteiger, C. Makelele 'the Invisible wall', Gilberto Silva, Thiago Motta n.k.
b.
Playmaker ama
creative midfielders - mfano, P. Scholes 'Ginger Prince', A. Pirlo 'the Architect', Kaka, W. Sneijder, Pep Guardiola, Veron, Deco, Xavi, Zidane 'Zizou', Platini, Riquelme 'El Torero', Luka Modric, Boban 'Zorro', Rui Costa, Xabi Alonso n.k.
c.
Attacking left and
right wingers - mfano, C. Ronaldo, R. Pires. Garrincha, Robben, Ribbery, Giggs, Hazard, Beckham, Bale, Rivaldo, G. Best, Marc Overmas, Figo, Ronaldinho n.k.
3.
Forward - hapa unapata:
a.
Goal poacher - mfano, F. Inzaghi 'Super Pippo', Ruud van Nistelrooy 'Van The Man', J. Hernandez 'Chicharito', Shaun Goater 'The Goat', Romario, H. Crespo 'Valdanito',
b.
Target man ama
clinical finisher - mfano, Ronaldo 'El Fenomeno', A. Shearer 'Big Al', G. Muller, Kun Aguero, C. Vieri, Patrick Kluvert, Didier Drogba, Diego Forlan, Diego Costa, Batistuta 'Batigol', Ibrahimovic, Van Persie, I. Zamorano 'Bam Bam' n.k.
c.
False nine (huyu ndiye second striker au inside forward) - mfano, D. Bergkamp, Maradona, Baggio, Rooney 'White Pele', Totti, Tevez, Messi, Del Piero, Cantona 'King Eric', Pele n.k.
Sasa kwa maelezo na mifano hiyo, tuanze kujadiliana tena; kwa vile mtakuwa mnaelewa tofauti kati ya
playing positions na
playing styles.
Chanzo: internet sources and my own understanding of the game.