mzee wa PSG, MAN UTD, BARCELONA, ATM NAKADHALIKA..acha usumbufu..unaumia kuona CHELSEA THE IMPOSSIBLE inasonga mbele..:wave:
wewe rukaruka tu,kauli yako ilisema hujafungwa na man city msimu huu....mimi nikakwambia ushafungwa na city msimu huu...habari ya EPL au FA haikuwepo kwenye post yako,labda ubadili kauli. hata mimi najua mliwafungwa city mara mbili.
cc: agosti 8