Mkuu
agosti 8 nawafahamu Vzr ATM na Nimekua nawafatilia sn Ktk game zao!
Wamekua wasumbufu sn kwa misimu km miwili hivi kwenye CL na Spanish raliga
Wakati Jose akiwa Bado Yuko Madrid hii timu iliwahi kumsumbua hasa kwenye game za kombe la mfalme! Lkn Mara nyingi Jose Zile timu zinazomsumbua au kumuumiza kichwa huziandalia Mkakati madhubuti! Kwahiyo Ktk Hilo ATM wamekutana na jabali kubwa sn!
ATM walitufunga Ktk ufunguzi Wa CL last season hii ni chachu tuliyotiwa ya kuwafunga Ktk Hiyo Siku! Kwasababu huwezi kuifunga Chelsea Zaidi ya Mara moja! Hilo liko wazi tu!
Na pia tunaanzia ugenini Ktk Hili hii game ya tarehe 22 ndio muhimu sn kuwafunga hao ATM Ili tupunguze kz kwa mechi zitakazo fata Pamoja na presha pia! Kwani unakumbuka makosa yaliyojitokeza Ktk first leg ya PSG mjini Paris dhidi ya PSG yalituumiza sn na kutupa kz kubwa kuyaweka sawa! Kwahiyo sizani km Matokeo yaliyopatikana Paris yatajirudia Kwani Jose Amekua akihakikisha kurekebisha makosa kila yanapotokea!
Bado kikosi chetu kiko imara sn Zaidi ya ATM na kwa mfumo Wa 4-4-2 ni mzuri Lkn kwa mfumo tunaotumia sasaiv Chelsea 4-2-3-1 yani mkikutana na timu yeyote yenye mfumo wowote lazima ipate tabu! 4-2-3-1 hii kitu ngumu Mkuu kumesa!