Match na Cardiff City itakua match yenu ya mwisho kwenye EPL msimu huu na mtachezea kwao, sihitaji kuelezea team zinazokuwa kwenye hatihati ya kushuka kwenye ligi huwa zinachezaje match ya mwisho hasa kama kubaki kwao kwenye EPL kutategemea hiyo match
ni kweli lakini bingwa hahitaji kutishwa na Cardiff City; tunaanza na Sunderland jumamosi mchana..tutaongea baada ya hapo.
Match to match analysis ndo mpango mzima kwa sasa.
viporo vya CITY vimeanza kuchacha..:smiling: