Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

afadhali tufungwe 2-1 huko HISPANIA kuliko 0-0. dawa yao ni kuwafunga kwao..

tukitoka 0-0 itakuwa kama mwaka 2009 nusu fainali vs Barcelona tukatolewa kwa 1-1 LONDON.

0-0 si matokeo mazuri unapocheza ugenini..narudia tena afadhali 2-1 kuliko 0-0. Natumaini umenipata mkuu Viol.

Yah nimekupata vizuri,ila hi game mi hainitishi kuna uwezekano mkubwa tukawafunga hata kwao
 
ni kweli 2009 tulikuwa na timu tatu kwenye NUSU FAINALI:

1. Chelsea FC
2. Man Utd.
3. Arsenal FC.

Mwaka huu: Chelsea FC peke yake. Kama mwaka 2012 tunapocheza peke yetu kwenye NUSU FAINALI tunakuwa kikazi zaidi..hakuna mawenge..vipi nyinyi LIVERPOOL?

Liverpool ndo habari ya mjini subiri msimu ujao ukaone kazi ya BR kwenye UCL nyie napenda kuwapa pole mapema sababu safari yenu inamalzka tar 30 nenda kawaombe barca wakusimulie muziki wa ATM.
 
Speaking on talkSPORT, Rodgers said:

“I have learnt a lot from Jose. He is a great man and we remain close, but we are two different people. I have never made a big push publicly about us winning the title." Maneno ya Brendan Rodgers:

NB: Jose Mourinho "the Special One"

1. Kocha wa kwanza kuifunga MAN CITY pale etihad msimu huu.
2. Kocha ambaye hajafungwa na timu zifuatazo msimu huu:

MAN CITY.
LIVERPOOL
MAN UTD.
ARSENAL
SPURS.

man city wameshawafunga msimu huu.....
 
Liverpool ndo habari ya mjini subiri msimu ujao ukaone kazi ya BR kwenye UCL nyie napenda kuwapa pole mapema sababu safari yenu inamalzka tar 30 nenda kawaombe barca wakusimulie muziki wa ATM.

kazi yako kusifia timu nyingine..nimekuuliza mbona timu yako haishiriki?
hao Barcelona tuliwapiga na kuingia fainali ikiwa na mchezaji bora wa dunia 4X Lionel Messi.
nimefafanua kila kitu kuhusu ATM; uimara na udhaifu wao..tutawatoa.

WE HAVE DONE IT...
 
Tukitoka draw kwao au bila kufungana itakuwa bonge la advantage

Mkuu somo tulilopata kwa PSG ni kubwa sn!

Tegemea kupata Matokeo mazuri Zaidi hasa ukiangalia ratiba ya UCL na EPL jinsi ilivyo akili inaniambia tarehe 22 tunaweka mazingira mazuri ya kuingia fainali Huku tukiwa Bado na presha ile ile ya EPL tittle race!
 
Kumbuka kuwa ATM ya 2009 si ya msimu huu mkuu!!

Baba Kelvin Karibu sn Ktk thread ya the blues

Kule kwenu wakali nyie!

Teh Teh Teh

Yote haya ni mambo ya mipira! Raha sn!

ATM nafasi yake ni finyu Mkuu!

Tuna kila wingi Wa sababu kusema hivyo!
 
Last edited by a moderator:
afadhali tufungwe 2-1 huko HISPANIA kuliko 0-0. dawa yao ni kuwafunga kwao..

tukitoka 0-0 itakuwa kama mwaka 2009 nusu fainali vs Barcelona tukatolewa kwa 1-1 LONDON.

0-0 si matokeo mazuri unapocheza ugenini..narudia tena afadhali 2-1 kuliko 0-0. Natumaini umenipata mkuu Viol.

Mkuu hakuna cha kupoteza kwa ATM hasa hii first leg!
 
Liverpool ndo habari ya mjini subiri msimu ujao ukaone kazi ya BR kwenye UCL nyie napenda kuwapa pole mapema sababu safari yenu inamalzka tar 30 nenda kawaombe barca wakusimulie muziki wa ATM.

Barc is nothing before Chelsea na huyo Mdogo wao ATM Siku zake zinahesabika!

BR kwa champions league sizani km atafika mbali sn! CL ni kitu ingine! Muuliza D Moyes atakuambia habari Yake!
 
kazi yako kusifia timu nyingine..nimekuuliza mbona timu yako haishiriki?
Hao barcelona tuliwapiga na kuingia fainali ikiwa na mchezaji bora wa dunia 4x lionel messi.
Nimefafanua kila kitu kuhusu atm; uimara na udhaifu wao..tutawatoa.

We have done it...

ktbffh
 
Barc is nothing before Chelsea na huyo Mdogo wao ATM Siku zake zinahesabika!

BR kwa champions league sizani km atafika mbali sn! CL ni kitu ingine! Muuliza D Moyes atakuambia habari Yake!

liverpool = nyumba ya makumbusho.
 
TRUE; BUT NOT IN THE PREMIER LEAGUE.

THE TOPIC WAS 'THE PREMIER LEAGUE'..back to the topic please!

just admit you were wrong.....your post said kocha ambae hajafungwa na timu hizi MSIMU HUU.....you didnt specify whether its epl or fa you just said msimu huu....now you can go back to your 'topic'
 
just admit you were wrong.....your post said kocha ambae hajafungwa na timu hizi MSIMU HUU.....you didnt specify whether its epl or fa you just said msimu huu....now you can go back to your 'topic'

We are talking about EPL not FA! We are talking about top five teams in EPL not FA!

Km kuchanganya ni Wewe! Lkn sisi tunajua tulikwenda mara mbili Etihad kwa EPL na FA! Na always tumekua tunazungumza juu ya EPL tu!
 
Mwambie huyo mshabiki wa PSG.
 
We are talking about EPL not FA! We are talking about top five teams in EPL not FA!

Km kuchanganya ni Wewe! Lkn sisi tunajua tulikwenda mara mbili Etihad kwa EPL na FA! Na always tumekua tunazungumza juu ya EPL tu!

wewe rukaruka tu,kauli yako ilisema hujafungwa na man city msimu huu....mimi nikakwambia ushafungwa na city msimu huu...habari ya EPL au FA haikuwepo kwenye post yako,labda ubadili kauli. hata mimi najua mliwafungwa city mara mbili.

cc: agosti 8
 
Last edited by a moderator:
just admit you were wrong.....your post said kocha ambae hajafungwa na timu hizi MSIMU HUU.....you didnt specify whether its epl or fa you just said msimu huu....now you can go back to your 'topic'

mzunguko wa kwanza:
1. Arsenal 0 - 0 Chelsea Fc
2. Man Utd 0 - 0 Chelsea FC.
3. Man City 1 - 2 Chelsea FC.
4. Spurs 1 - 1 Chelsea fc.
5. Liverpool 1 - 2 Chelsea Fc.

MZUNGUKO WA PILI:
1. Arsenal 0 - 6 Chelsea Fc
2. Man Utd 1 - 3 Chelsea FC
3. Man City 0 - 1 Chelsea Fc
4. Spurs 0 - 4 Chelsea FC.
5. Liverpool vs Chelsea(27April)

jumla ya magoli raundi ya pili:
6+4+3+1 = 14 goals.
tuliyofungwa na hao 'wazee'
1 tu. dhidi ya Man Utd.

dhidi ya hizo timu 4 tumefunga magoli 14; tumefungwa goli 1 tu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom