Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona ma fans wapinzani wamekuwa wengi humu...
wajikite zaidi na timu zao kulio kujifanya wanaijua zaidi Chelsea..
cc Nzi
 
Last edited by a moderator:
kichaa huyo mpotezee

Sawa mimi kichaa...ila nafikiri wewe na Mentor ni machizi...

Ebu angalieni kwenye profile za wachezaji Willian, Oscar na Hazard mnaowaita washambuliaji!!

1. Willian

Name:da Silva WillianNationality:BrazilianDate of Birth:09/08/1988Height:175 cmWeight:75.0 kgPrevious Clubs: Anzhi Makhachkala, Shakhtar Donetsk, Shakhtar Donetsk, Sport Club Corinthians Paulista Position:Midfielder

2. Oscar

Name:Emboaba OscarNationality:BrazilianDate of Birth:09/09/1991Height:180 cmWeight:68.0 kgPrevious Clubs: Sao Paulo Position:Midfielder

3. Hazard

Name:Eden HazardNationality:BelgianDate of Birth:07/01/1991Height:173 cmWeight:74.0 kgPrevious Clubs: Lille Position:Midfielder

Haya nyiye mashabiki maandazi mnawaita washambuliaji...klabu inawaita viungo!!

Kazi kweli kweli!!!
 
Last edited by a moderator:
Andre sio pure striker...ndiye aliyeanza mechi ya kwanza against Man U...
ila Ba,Torre na Etoo ni pure strikers....
still Andre ni strikers ni ndio sababu Mourihno huwa anamuanzisha kama striker

wikipedia...
André Schürrle (born 6 November 1990) is
a German footballer , who plays as a
forward and winger for Premier League club
Chelsea and the German national team .

chelsea fc official website
Nationality: German
D.O.B: 06/11/1990
Height: 183
Weight: 73.0
Previous Clubs: Chelsea, Bayer Leverkusen, Mainz
Position: Striker

Nzi umekunywa nini leo?

Sorry. My bad for Shule, I was totally wrong about him....
 
Last edited by a moderator:
halafu Ntuzu, hizi herufi hua zinamaanisha nini? Hua naziona zinakatisa mbele ya screen na kupotea at times.

Keep the blues flag fly high=KTBFFH
You got it?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nzi kwa heshima yako jaribu kuwa mstaarabu hapa kwenye jukwaa la wastaarabu:

kocha anaweza kumbadili mchezaji acheze majukumu tofauti; kwa hiyo profile ya mchezaji inaweza kubadilika.

MIFANO:

Michael Essien alitoka Lyon ya Ufaransa kuja Chelsea; alizoea kucheza 'winga' JOSE MOURINHO akambadili akawa anacheza kiungo wa ndani(kiungo wa kati) na hata akawa kiungo mkabaji mzuri sana.

Cesar Azpilicueta "Dave" alitoka Marseille Ufaransa akiwa beki wa kulia. lakini hapa Chelsea Fc anatumika kama beki wa kushoto;

Blanislav Ivanovic ni beki wa kati; kule kwao Serbia anacheza na Nemanja Vidic katika jukumu la beki #4 au #5. Lakini Chelsea wanamtumia Ivanovic kama beki wa kulia, yaani, #2.

Lahm mchezaji wa Bayern Munich ambaye ni kapteni wa timu hiyo; yeye kwa mazoea ni beki wa kulia. lakini mara kwa mara amechezeshwa kama kiungo mkabaji na kocha wa timu hiyo Josep Guardiola. Kwenye mfumo wa 4-1-4-1.

Christiano Ronaldo ni 'winga' lakini kwenye mfumo wa Real Madrid ambao mara nyingi wanacheza 4-3-3. Ronaldo hucheza kama mshambuliaji: wanakuwa hivi Bale-Benzema-Ronaldo.

bisha tena Nzi.

cc; Mentor, ntuzu, Kalou, etc.

Sawa mimi kichaa...ila nafikiri wewe na Mentor ni machizi...

Ebu angalieni kwenye profile za wachezaji Willian, Oscar na Hazard mnaowaita washambuliaji!!

1. Willian

Name:da Silva WillianNationality:BrazilianDate of Birth:09/08/1988Height:175 cmWeight:75.0 kgPrevious Clubs: Anzhi Makhachkala, Shakhtar Donetsk, Shakhtar Donetsk, Sport Club Corinthians Paulista Position:Midfielder

2. Oscar

Name:Emboaba OscarNationality:BrazilianDate of Birth:09/09/1991Height:180 cmWeight:68.0 kgPrevious Clubs: Sao Paulo Position:Midfielder

3. Hazard

Name:Eden HazardNationality:BelgianDate of Birth:07/01/1991Height:173 cmWeight:74.0 kgPrevious Clubs: Lille Position:Midfielder

Haya nyiye mashabiki maandazi mnawaita washambuliaji...klabu inawaita viungo!!

Kazi kweli kweli!!!
 
Morinyo siku hizi mechi ndogo zinamtoa jasho sana

mechi 4 zilizopita hapo SWANSEA hatujashinda;
kwa hiyo jana ilikuwa rekodi pia kushinda huko WALES.

najua mnaumia kuona tunashinda hiyo ndo hoja ya msingi...wewe mwaka huu nafasi yako EUROPA LEAGUE.
 
Mdudu Nzi,

Kutokana na formation ya timu wakati wa mechi...hao Oscar, Willian na Schurrle wanatumiwa kwa majina tofauti; midfield au forward.
 
Last edited by a moderator:
fikra mgando:

unakariri sana wewe. nyie ndo wale mnaotaka mshambuliaji lazima avae jezi #9 mgongoni.

Hispania wanapomchezesha Fabregas mbele anakuwa mshambuliaji wewe unasema yeye ni kiungo?
Kweli nimeamini wewe ni Nzi;
Nawe ni shabiki wa Chel$ki$

Eti washambuliaji watano? Hujui hata washambuliaji wa timu unayoishabikia!!
 
Hesabu zinatimia..hesabu zilikua hivi...liver impige mancity, sisi tuendelee kushinda then sisi tumpige liver.
Ubingwa utakua kwetu. mancity akidroo mechi moja tu.
 
Ubingwa wa siku ya mwisho ni mtamu sana...

twendeni nao hadi mwisho..tutacheza mechi ya mwisho kule WALES kwenye uwanja wa Millenium Cardiff nyumbani kwa Cardiff City.
 
mechi 4 zilizopita hapo SWANSEA hatujashinda;
kwa hiyo jana ilikuwa rekodi pia kushinda huko WALES.

najua mnaumia kuona tunashinda hiyo ndo hoja ya msingi...wewe mwaka huu nafasi yako EUROPA LEAGUE.

Nilitaka Chelsea wachukue ubingwa kuliko Liverpool na Man City but Jose amefanya maisha yamekuwa magumu.Fact ni kuwa Morinyo siku hizi ana struggle against timu ndogo so far hajafungwa na City,United,Liverpool,Arsenal lakini vibonde ndio wamemfunga

Uropa kumbuka hata nyie mlikuwa mnajisifia mabingwa wa Uropa
 
sisi mabingwa wa EUROPA hadi sasa bingwa mpya bado hajatokea.

mimi nimesema tu kwamba mwaka huu hauchezi champions league..

mimi nilicheza EUROPA baada ya kutolewa kwenye hatua ya makundi; ambapo tulishika nafasi ya 3 kwenye kundi.

lakini wewe hutashirika kabisa champions league mwaka huu; mbaya zaidi kama hull City watachukua FA; baaasi ujue umekosa hata hiyo EUROPA..

qwi qwi qwi ila mtapata muda wa kupumzika.
 
Ubingwa wa siku ya mwisho ni mtamu sana...

twendeni nao hadi mwisho..tutacheza mechi ya mwisho kule WALES kwenye uwanja wa Millenium Cardiff nyumbani kwa Cardiff City.

MILLENIUM STADIUM sio uwanja wa Cardiff city fc uwanja wao ni cardiff city stadium.....Millenium ni uwanja wa taifa wa Wales.
 
sisi mabingwa wa EUROPA hadi sasa bingwa mpya bado hajatokea.

mimi nimesema tu kwamba mwaka huu hauchezi champions league..

mimi nilicheza EUROPA baada ya kutolewa kwenye hatua ya makundi; ambapo tulishika nafasi ya 3 kwenye kundi.

lakini wewe hutashirika kabisa champions league mwaka huu; mbaya zaidi kama hull City watachukua FA; baaasi ujue umekosa hata hiyo EUROPA..

qwi qwi qwi ila mtapata muda wa kupumzika.

Kwi Kwi Kwi Kwi Kwi

Mkuu Ebu uwe unapunguza ukali Wa maneno! Maana inauma sn! Yani Wewe kutoka kuongoza ligi kwa NUSU msimu mpk kukosa nafasi ya UCL!?!?

Teh Teh Teh Teh Teh
 
article-2603603-1D14C5D600000578-367_634x352.jpg

article-2603603-1D14FE7500000578-438_634x444.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom