zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
wapuuzi wanapata goli hapagame ya leo inaonekana
kuwa ngumu sn. jamaa wako kumi lakini ni hatari. Ramires. Salah wamekosa
magoli ya wazi kabisa
wapuuzi wanapata goli hapagame ya leo inaonekana
kuwa ngumu sn. jamaa wako kumi lakini ni hatari. Ramires. Salah wamekosa
magoli ya wazi kabisa
wakuu,matokeo vipi?
wakuu,matokeo vipi?
mpira umekwisha Chelsea kashinda gori 1.
naona wenye Uzi wamekimbia bana
Walikuwa wanatizama Game watu tunasubiriana milangoni ikifika May kila mtu baru tehtehteh! Tunaanza kutafuta ma Taifa ya kushangilia kombe la Dunia.Watakuja soon
Hongera humu ndani Kaka Ntunzu! Najua ndio unarudi kutizama kandanda.. Kalou ushapumua umemaliza maji hehehe.
hawa watoto wangekuwa kamili leo ingekuwa balaa...
kweli wewe kalulu1 Liverpool 34 77
2 Chelsea 34 75
3 Manchester City 32 70
4 Everton 33 66
5 Arsenal 33 64
sasa hapa tukimpiga liverpool..
hopefully man city atateleza on way..
come on CHELSEA ..
KTBFFH
Washambuliaji (Attackers) na wafungaji (strikers) ....spot the difference sir.
Willian Oscar Hazard Schurrle Ba Eto'o Torres na wengine wachezao nafasi zao..ni attackers...washambuliaji wa Chelsea. Acha kumzingua mwenzako.
Hakuna kitu kama hicho katika positions za mpira. Katika mpira kuna hizi nafasi (kwa wachezaji wa ndani):
1. Backline - hapa kuna Central Backs (4 na 5), Left Back (3) na Right Back (2).
2. Midfield - Central Midfielder (6), Attacking Midfielder (8), Left Winger (11) na Right Winger (7)
3. Forward - Central Striker (9) na Second Striker ama Inside Forward (10).
Hizo ndizo playing positions katika football. Ukitaka mjadala wa playing styles sema, nikusaidie..
Maana naona mnachanganya hizo mambo!!
Willian, Shule, Hazard na Oscar hao ni midfielders, yaani playing positions zao ni kwenye midfield...
Nilimwuliza huyo bwana kwa sababu huwezi kuwaweka hao katika kundi moja la Etoo, Ba na Torres!! La sivyo kama mnaleta utani!!
Ndio maana mnakumbuka game ya kwanza ya Chel$ki$ dhidi ya United pale OT, Maureen alikuwa criticised kwa kupanga timu bila mshambuliaji! Kumbuka Shule alikuwemo pia! Sijui unasemaje katika hilo!!
Morinyo siku hizi mechi ndogo zinamtoa jasho sana
walimsema kwa kuto kuwa na pure striker...
lakini Etoo ,Ba,Torress na Andre wote ni strikers kwa uchezeji ...
Duh! Wewe sijui hata umefuatilia mjadala toka mwanzo?!?
Shule siyo forward player, nenda kaangalie hata kwenye profile ya club.
Kwa hiyo Etoo, Ba na Torres siyo pure strikers!?!? My goodness me!!!!