Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kuna kitu:

cc; Ntuzu, Mentor, EMT, kalou.

Yap kuna kitu Lkn Mimi nisingependa acheze! Kwasababu km atacheza kuna mengi yaneweza tokea!

Lkn Ngoja tusubiri kauli toka Ktk timu mpk Kesho Ivi au keshokutwa
 
Kichapo walichotoa Chelsea kwa PSG na kuingia Semi-final kimewafanya wale wote waliokua wanaibeza Chelsea kukaa kimya ata baada ya hii ratiba ya NUSU kutoka! Maana Naona wengine wameshasema Chelsea Hiyo Kwenye final!

Tangu Abramovich aichikue Chelsea wamekua na rekodi nzuri sn Ktk UEFA!

Mpira umeshaanza Wa ATM dhidi ya chelsea! Yani mpk Hiyo tarehe 22. Tayari tutakua tumeshajua tuwapigaje hao ATM Kwahiyo itakua ni kukamilisha tu!
 
Mkuu vp hazard atakuwa yuko vizuri maana nilickia kuna uwezekano akakaa bench kwa 14 days
 
atletico na real wanaingia final....atletico wanabeba kombe!!!
 
Mkuu vp hazard atakuwa yuko vizuri maana nilickia kuna uwezekano akakaa bench kwa 14 days

Habari za Hazard haziko wazi sn, Kwani mpk Jana hakuna muda maalum waliosema kwamba atachukua muda gani!

Ila kuna uwezekano mkubwa game ya kwanza akakosa ila ya atakuwepo!
 
Naamini Chelsea watafunga kule Madrid na kuja kumalizia furaha nyumbani.
Atletico watapark basi ili tusiwafunge kwao
 
Matokeo yenye faida kwa Chelsea ni liverpool washinde au iishe kwa draw...
hawa liverpool tutaenda kumalizana nao Anfield iwe the Winner takes it All..
 
Nawe ni shabiki wa Chel$ki$

Eti washambuliaji watano? Hujui hata washambuliaji wa timu unayoishabikia!!

hapo kakosea kwa Willian tu ila hao wengine
Eto'o,Ba, Torres, Schurrle ni attackers
 
Nawe ni shabiki wa Chel$ki$

Eti washambuliaji watano? Hujui hata washambuliaji wa timu unayoishabikia!!

Washambuliaji (Attackers) na wafungaji (strikers) ....spot the difference sir.

Willian Oscar Hazard Schurrle Ba Eto'o Torres na wengine wachezao nafasi zao..ni attackers...washambuliaji wa Chelsea. Acha kumzingua mwenzako.
 
Swansea wako pungufu kuna mchezaji wao mmoja kapigwa kadi nyekundu, sikuwepo ila ndo hali halisi ilivyo.
 
Washambuliaji (Attackers) na wafungaji (strikers) ....spot the difference sir.

Willian Oscar Hazard Schurrle Ba Eto'o Torres na wengine wachezao nafasi zao..ni attackers...washambuliaji wa Chelsea. Acha kumzingua mwenzako.

kichaa huyo mpotezee
 
game ya leo inaonekana kuwa ngumu sn. jamaa wako kumi lakini ni hatari. Ramires. Salah wamekosa magoli ya wazi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom