Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,272
Halafu wewe siku hizi umeadimika kama mizizi ya jiwe, kulikoni?.Mentor, bado unasherehekea ushindi besti?? Huku Paris tunaendelea kula croissants. hihihihiiii
Halafu wewe siku hizi umeadimika kama mizizi ya jiwe, kulikoni?.Mentor, bado unasherehekea ushindi besti?? Huku Paris tunaendelea kula croissants. hihihihiiii
Haya maneno usije yakana huko tuendako Mkuu!toka 1974 atl hajawahi ingia nusu soo yupo kikombe zaidi waulize barca hadi leo wamecheza gemu tatu na barca kuambulia point mbili tu.. mnaweza bahatisha mara ya mwisho mlikula nne..
toka 1974 atl hajawahi ingia nusu soo yupo kikombe zaidi waulize barca hadi leo wamecheza gemu tatu na barca kuambulia point mbili tu.. mnaweza bahatisha mara ya mwisho mlikula nne..
Haya maneno usije yakana huko tuendako Mkuu!
Real Madrid VS Bayern Munich
Atletico madrid VS chelsea fc
Naona fainali ya 2012 ikijirudia
Naona fainali ya 2012 ikijirudia
yanawezekana:
but; WE HAVE DONE IT.. WE WILL DO IT AGAIN;
WINNING THE CHAMPIONS LEAGUE.:first:
CHELSEA FC
yanawezekana:
but; WE HAVE DONE IT.. WE WILL DO IT AGAIN;
WINNING THE CHAMPIONS LEAGUE.:first:
CHELSEA FC
Hivi Uefa walijua kuwa Chelsea itapangwa na ATM? Kwanini wamerelease statement kuhusiana na mkataba wa Courtois on the same day of the draw halafu Chelsea wameishia kupangwa na ATM? Is it a coincidence?
cc; EMT
kuna kitu:
cc; Ntuzu, Mentor, EMT, kalou.
kuna tetesi kwamba 'wadau' hawakutaka fainali kati ya Atletico na Chelsea FC;
sasa ni afadhali zikutane mapema tu..
sasa sijui kama kuna uhusiano kati ya hayo unayosema; lakini kama ulivyosema inawezekana walikuwa prepared mapema..😕
Watakua walipenda "a dream final" kati ya Bayern Vs Real Madrid lakini hawa 'underdogs' wamewatisha kwa namna walivyofika hapo, wakaona dawa yao ni kuwapambanisha tu, fitna nyingine watazifanya siku ya fainali