Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC vs Leeds United
Carabao Cup Third Round
Hakuna kmiungo kwenye bench
Line up

----------------Wellbeck----------------

----Gittens----------------Estevao--------

Chavarria----Barco------Watson----Guisto

---Colwill (C)-----Laroix ----Acheampong--

-----------------Penderts----------------

Bench:
1) Martinez
2) Fofana
3) Hato
4) James
5) Neto
6) Palmer
7) Quenda
8) Rogers
9) Joao Pedro

1788977185547.png
 
humu hamna timu ni vijana tu wanajifurahisha so sad timu yangu imekuwa kama hovyo hakuna kitu kinatengenzwa ni kujiburudisha tu
 
Chelsea tupo kundi gani uefa? Game za jumaane na jumatano zimechezwa, halafu game za alhamisi silioni chama langu ze bluz kwenye fixtures.
 
January tunapaswa kusajili beki wa maana atakae saidiana na LaCroix wale matakataka ambao ako nao kule nyuma wana muangusha sana. Pia na kiungo (DM) tunapaswa kusajili.
Kwa kiasi kikubwa kukosa kiungo mkabaji ndio inatuangisha kuliko hata beki maeneo ambayo yalitakiwa kuwe na kiungo mkabaji ambaye anafanya block au Clearence humkuti na magoal hayo tumefungwa sana ikiwemo magoal mawili ya jana we subiri arudi Caicedo utaona utofauti so unazingua sana kumlaumu Xabi Alonso.
 
GOAL! Rogers notches an assist hat-trick! Chelsea 4-2 Leeds United (Danny Welbeck)

1789029382126.gif


1789029378519.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom