Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,587
- 38,328
Cheltako bana kama anko t
Server hapa sisi Chelsea tunawachora. Hatujafungwa kelele kibao utafikiri madem wa vilabu vya pombe za kienyeji.ngonjera
FamiliaMkuu mie shabiki wa MU FC.
Hapa umeleta ushabiki, huwezi kumweka United mbele ya City, hata mkishinda kesho@Hziyech anakwambia Chelsea ni timu bora sana.
Me nlishasema EPL mpk sasa nje ya arsenal ambae ni bingwa, basi united anafatia
Timu sio usajili tu
Man city saiv ana wachezaji wazuri, bdo hajapata timu inayocheza vizuriHapa umeleta ushabiki, huwezi kumweka United mbele ya City, hata mkishinda kesho
sawa hachezi vizuri, we unacheza vizuri zaidi yake?Man city saiv ana wachezaji wazuri, bdo hajapata timu inayocheza vizuri
Pia Wana kocha mpya, lkn ushabiki nimeweka pia🤣
Mara ya mwisho United kumaliza ligi juu ya City ilikuwa msimu wa 2012/13, miaka 13 iliyopita. Leo mnaongea kuhusu kumaliza juu ya City wakati nafasi ya top 4 bado ni mission yenu.@Hziyech anakwambia Chelsea ni timu bora sana.
Me nlishasema EPL mpk sasa nje ya arsenal ambae ni bingwa, basi united anafatia
Timu sio usajili tu
@Hziyech anakwambia Chelsea ni timu bora sana.
Me nlishasema EPL mpk sasa nje ya arsenal ambae ni bingwa, basi united anafatia
Timu sio usajili tu
Mara ya mwisho United kumaliza ligi juu ya City ilikuwa msimu wa 2012/13, miaka 13 iliyopita. Leo mnaongea kuhusu kumaliza juu ya City wakati nafasi ya top 4 bado ni mission yenu.@Hziyech anakwambia Chelsea ni timu bora sana.
Me nlishasema EPL mpk sasa nje ya arsenal ambae ni bingwa, basi united anafatia
Timu sio usajili tu
Maswali ya kindergarten haya unafikiri kutengeneza timu ni kama kupanga cone.Wakuu, Alonso anafika Christmas kweli?
Timu zote kubwa duniani zingekuwa na mentality uliyonayo kuhusu makocha na ukocha, basi kusingekuwa na makocha wanaofukuzwa either mwanzo wa msimu, katika au chini ya msimu mmojaMaswali ya kindergarten haya unafikiri kutengeneza timu ni kama kupanga cone.
Timu imemaliza nafasi ya 10 msimu uliopita unategemea sajili zisizozidi 3 kwenye first eleven zifanye kuwa title contender
Akikujibu nitagsawa hachezi vizuri, we unacheza vizuri zaidi yake?
Jinsi Xabi Alonso anavyomng'ang'ania Malo Gusto na Jorrel Hato inatia shaka sanaMwalimu anajaza beki kibao
Hakuna mwalimu hapo
Kuna jmaa huwa anasema Alonso ni takataka ssa nakubaliana nae hana mbinu kila game anakalili mfumo wake wa beki 3 umefeli tayari kwa nn hataka kubalika beki zake zote Leo hawana akili hata mmoja
Barco anafanya nn nje mbona anakuwa mbishi hakika Chelsea tunapitia wakati mgumu sana nilizani huyu takuwa na akili kumbe ni TAKATAKA tu kzi ipo
Afadhali gusto kaumia tena aumie kma miez 6Jii ya Xabi Alonso kumng'ang'ania Malo Gusto na Jorrel Hato inatia shaka sana
Chavarria ni mzuri kwenye kutract na kukaba wakati Hato sio
Neto anakuwa mzuri akicheza kama RWB na sio Malo Gusto.
Malo Gusto hafai kwenye nafasi yeyote, an amakosa mengi sana inayogharimu timu.
Jana hakukuwa na sababu yeyote ya kumuweka nje Lacroix na kumuanzisha Halo kwenye nafasi yake.
Hawa makosha saa nyingine wanakunywa chanmg'aa kabla ya kupanga kikosi
Unakumbuka ulivokuwa unasema kuhusu man u.Akikujibu nitag