Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

GOAL! Chelsea 6-3 Leeds United

1789029985215.gif


1789029981292.gif
 
Eti Chelsea ni mweupe Arsenal alisaidiwa na refa Gabriel alitakiwa kula umeme, Konsa kacheza rafu tano bila hata kupewa yellow card ikiwemo ile ya kumbeba Joao Pedro ndio iliyopelekea kupata goal lao la pili.Chelsea unaichukulia hivyo ikiwa bado haujacheza nae subiri ucheze nae ndio utakutana na balaa.
Uyu mjomba alijifungia ndani siku nzima analia

Amerudi hapa na ajenda ya kubebwa na refa 😂😂😂
 

Attachments

  • HRm8EIzW8AEZ_Z6.jpg
    HRm8EIzW8AEZ_Z6.jpg
    191.2 KB · Views: 1
Ni kweli wamiliki wametuyumbisha lakini tusisahau Enzo Maresca nae amechangia kutufikisha hapa tulipo yaani wewe ni Kocha wa Chelsea tena una mkataba na team wa miaka mi3 kama sikosei alafu unaingia makubaliano na Man City bila kutoa taarifa kwa club yako ambayo unamkataba nayo tayari hapo committed yako kwa hiyo club haipo tena from no where unawaambia club yako sihitaji kuendelea katikati ya msimu ikiwa club haijajipanga wewe kama mshabiki unaona hii imekaa sawa? Ukiwa kama sehemu ya management unafanyaje
Hata mke wa ndoa hurubuniwa aka kutongozwa na akatoa....teh teh teh.
 
Mwalimu anajaza beki kibao
Hakuna mwalimu hapo
Kuna jmaa huwa anasema Alonso ni takataka ssa nakubaliana nae hana mbinu kila game anakalili mfumo wake wa beki 3 umefeli tayari kwa nn hataka kubalika beki zake zote Leo hawana akili hata mmoja
Barco anafanya nn nje mbona anakuwa mbishi hakika Chelsea tunapitia wakati mgumu sana nilizani huyu takuwa na akili kumbe ni TAKATAKA tu kzi ipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom