HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,709
- 7,259
Sasa hapa kawaite wazee wa viingereza vingi kule jukwaa la Livakuku waje kuwatasfiria hawa Chelkenge hili bandiko.
Sasa hapa kawaite wazee wa viingereza vingi kule jukwaa la Livakuku waje kuwatasfiria hawa Chelkenge hili bandiko.
Tafuteni kocha uyo Alonso tapeliShukuruni refa alikuwa upande wenu
Inafaa afanye sacrifice ya ligi na UEFA.Mimi hua nasema kimahesabu kushinda tournament ni rahisi kuliko ligi.
Mfano kocha wenu anaweza akaamua kukomaa na UEFA na FA. Ligi kwakua ni ruti ndefu anaikaushia.
Ila akitaka akomae na ligi, UEFA, FA na Carabao atakosa kote na mtamlaumu kila siku
Njia ya Liver ilikua ndefu ila walilamba mpunga mapema.Inafaa afanye sacrifice ya ligi na UEFA.
Fa na carabao tuzipotezee.
Ligi ndio inatoa mlango wa kushiriki UEFA, UEFA nayo inakupa nguvu kweny usajili.
Sina beki nzuri, na kiungo Bado Ina utoto, nasubria impact ya baleba Kisha nitajua tulivyo zaidi
Chelsea nae bdo ni mweupe ata struggle big match na timu za kawaida pia zitamsumbua.
Arsenal mlichukua safari ndefu ya phases kujenga timu...me sitaki tupite njia yenu ilikuw ndefu saba
Kwaio Hatima ya man u inaweka mikononi mwa baleba?Inafaa afanye sacrifice ya ligi na UEFA.
Fa na carabao tuzipotezee.
Ligi ndio inatoa mlango wa kushiriki UEFA, UEFA nayo inakupa nguvu kweny usajili.
Sina beki nzuri, na kiungo Bado Ina utoto, nasubria impact ya baleba Kisha nitajua tulivyo zaidi
Chelsea nae bdo ni mweupe ata struggle big match na timu za kawaida pia zitamsumbua.
Arsenal mlichukua safari ndefu ya phases kujenga timu...me sitaki tupite njia yenu ilikuw ndefu saba
Eti Chelsea ni mweupe Arsenal alisaidiwa na refa Gabriel alitakiwa kula umeme, Konsa kacheza rafu tano bila hata kupewa yellow card ikiwemo ile ya kumbeba Joao Pedro ndio iliyopelekea kupata goal lao la pili.Chelsea unaichukulia hivyo ikiwa bado haujacheza nae subiri ucheze nae ndio utakutana na balaa.Inafaa afanye sacrifice ya ligi na UEFA.
Fa na carabao tuzipotezee.
Ligi ndio inatoa mlango wa kushiriki UEFA, UEFA nayo inakupa nguvu kweny usajili.
Sina beki nzuri, na kiungo Bado Ina utoto, nasubria impact ya baleba Kisha nitajua tulivyo zaidi
Chelsea nae bdo ni mweupe ata struggle big match na timu za kawaida pia zitamsumbua.
Arsenal mlichukua safari ndefu ya phases kujenga timu...me sitaki tupite njia yenu ilikuw ndefu saba
Halafu wakiwa kwenye jukwaa lao wanadanyana wanachukua ubingwa 🤣Kwaio Hatima ya man u inaweka mikononi mwa baleba?
Toa majina ya wachezaji 7 ambao unaamini hawa wasipopata majerui watawavusha kipindi hiki kigumu. Na sio kumbebesha mtoto wa watu (22 years) mzigo mzito
Eti Chelsea ni mweupe Arsenal alisaidiwa na refa Gabriel alitakiwa kula umeme, Konsa kacheza rafu tano bila hata kupewa yellow card ikiwemo ile ya kumbeba Joao Pedro ndio iliyopelekea kupata goal lao la pili.Chelsea unaichukulia hivyo ikiwa bado haujacheza nae subiri ucheze nae ndio utakutana na balaa.
Tunajenga timu, but we have to competeNjia ya Liver ilikua ndefu ila walilamba mpunga mapema.
City ilikua ndefu mpaka wakakutana na Pep.
Miaka michache kabisa ya kujenga timu ni miaka labda 4.
Lakini muda mnajenga kuna dalili ya kwamba kuna sehemu mnaenda?
Sio hatima, nataka nione atatoa impact gani kweny kiungo.Kwaio Hatima ya man u inaweka mikononi mwa baleba?
Toa majina ya wachezaji 7 ambao unaamini hawa wasipopata majerui watawavusha kipindi hiki kigumu. Na sio kumbebesha mtoto wa watu (22 years) mzigo mzito
Siihukumu Chelsea Kwa game vs arsenal tu, me nimewaona game nyingi.Eti Chelsea ni mweupe Arsenal alisaidiwa na refa Gabriel alitakiwa kula umeme, Konsa kacheza rafu tano bila hata kupewa yellow card ikiwemo ile ya kumbeba Joao Pedro ndio iliyopelekea kupata goal lao la pili.Chelsea unaichukulia hivyo ikiwa bado haujacheza nae subiri ucheze nae ndio utakutana na balaa.
Naona hapa umeamua uwe mkweli Sasa zile tambo zakusema mnachukua ubingwa zinatoka wapiSio hatima, nataka nione atatoa impact gani kweny kiungo.
Wachezaji ninao wengi wa kutengeneza rashfod, bruno, mbeumo, cunha, sesko, lammens, maino, Martinez etc lkn timu kuperfom inataka vitu vingi physically, mindset, technically (hii anakuwa nayo mchezaji na nyingine ni impact ya bench la ufundi), na bahati ya kutopata majeruhi.
Sio kwamba hatuna beki, mabeki wazuri tunao ila hatuna system nzuri ya kuzuia pamoja na hivyo haizuii kuwa ni team tishio kule mbele tuko vizuri sana pia kumbuka team inajengwa ikiwa inashindana itafika wakati tutakuwa Bora kwenye angle zote muhimu tanachukua point Brighton na Fulham ni team nzuri sana na tumechukua point 6 na ukitaka kujua hilo mtakutana na hizi team.Siihukumu Chelsea Kwa game vs arsenal tu, me nimewaona game nyingi.
Hamna beki, haswa aerial duels ni wabovu zaidi.
Hamna njia nyepesi, labda mpambane sana
Ni kweli wamiliki wametuyumbisha lakini tusisahau Enzo Maresca nae amechangia kutufikisha hapa tulipo yaani wewe ni Kocha wa Chelsea tena una mkataba na team wa miaka mi3 kama sikosei alafu unaingia makubaliano na Man City bila kutoa taarifa kwa club yako ambayo unamkataba nayo tayari hapo committed yako kwa hiyo club haipo tena from no where unawaambia club yako sihitaji kuendelea katikati ya msimu ikiwa club haijajipanga wewe kama mshabiki unaona hii imekaa sawa? Ukiwa kama sehemu ya management unafanyajeWakati timu kama Aston Villa wanacheza UCL, Chelsea inacheza Karabao cup second round
Wamiliki wameidemote Chelsea ile mbaya. Sijui wanalewaga kilevi gani hawa, Hawaonyeshi ila kwa matendo yao lazima itakuwa Chang'aa na bangi
TusubrieSio kwamba hatuna beki, mabeki wazuri tunao ila hatuna system nzuri ya kuzuia pamoja na hivyo haizuii kuwa ni team tishio kule mbele tuko vizuri sana pia kumbuka team inajengwa ikiwa inashindana itafika wakati tutakuwa Bora kwenye angle zote muhimu tanachukua point Brighton na Fulham ni team nzuri sana na tumechukua point 6 na ukitaka kujua hilo mtakutana na hizi team.
Cole palmer nae ni wazi kabisa alistahili yellow cards mbili, ya kwanza refa aliepotezea ni alivyomtegeshea mguu Kwa nyuma Kwa maksudi dogo Lewis miles skelly...Eti Chelsea ni mweupe Arsenal alisaidiwa na refa Gabriel alitakiwa kula umeme, Konsa kacheza rafu tano bila hata kupewa yellow card ikiwemo ile ya kumbeba Joao Pedro ndio iliyopelekea kupata goal lao la pili.Chelsea unaichukulia hivyo ikiwa bado haujacheza nae subiri ucheze nae ndio utakutana na balaa.