verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,235
- 6,462
Before
Shukuruni refa alikuwa upande wenu
Tafuteni kocha uyo Alonso tapeliShukuruni refa alikuwa upande wenu
Mazoezi ya how to win EUFA bado hamjapata tutorialArsenal alifanya mazoezi how to win a game while chelsea walifanya mazoezi ya rugby 🏉 jinsi ya kutuzuia. Hasa magoli ya kona
Hadi hapo nilishaona hii game kenge ameshakufa. Ndio maana nilitaka mfe kuanzia chuma 3
Sasa kenge inabidi wafanye mazoezi mengine ya kushinda games zao waachane na mazoez ya rugby wakati huo arsenal yeye anaendeleza pale alipoishia jinsi ya kushinda game zake
Kama haujaiona tofauti hapo, hautakuja kujua mpira hadi unaingia kaburini
Mimi nilikuwa najiuliza "huyu refa mbona anawabania sana kadi wachezaji wa Chelkenge? Au mpaka wanunue?"Team yenu ilibebwa Gabriel alitakiwa ale red card kwa kuhatarisha afya ya Kipa wetu kwa ule mguu aliyomkita Martinez ukiachana na hapo Refa alikuwa atoi kadi za njano Konsa kacheza rafu tano ikiwemo kumbeba Joao Pedro na zote hajapata yellow card
Kuna moja zilipigwa one two kweye boksi ngozi akaikamata Zubimendi akawa anajaribu kugeuka kuna beki akaingilia showNa msimu huu hatutaki kufunga kwa kona wala penalty. Tukizipata tunajikosesha makusudi. Lengo ni kila mtu achapwe kwa open play.
Nadhani Castr alisema msimu huu Arteta anafikiria kuwaachia wachezaji waonyeshe mbwembwe zao zaidi ili gemu linoge haswa kwenye maeneo ya box la mpinzani.
Tumejionea kwenye goli la pili jinsi Kai na Odegaard wamefanya mambo ya Arsenal ya enzi za akina Henry na Fabregas.
Ile move ingekubali, kuanzia mechi ijayo timu zingeanza kuweka wachezaji 11 wote ndani ya box lao.Kuna moja zilipigwa one two kweye boksi ngozi akaikamata Zubimendi akawa anajaribu kugeuka kuna beki akaingilia show
Unajisikiaje kurudi UEFA?Arsenal bingwa, timu ya kuwasumbua ni united tu EPL
Ni poa, nalitaka kombe ndio maana nashirikiUnajisikiaje kurudi UEFA?
Chelsea hamna beki Waka kiungo...top four hamtoboi...labda msajili januaryNi poa, nalitaka kombe ndio maana nashiriki
Hauna timu ya kucheza kila baada ya siku 3.Ni poa, nalitaka kombe ndio maana nashiriki
Ujue ni ushabiki tu, lakini man u Bado tuko phase za mwanzo kabisa kujenga timu...but we have to compete regardlessHauna timu ya kucheza kila baada ya siku 3.
Huu ni ukweli mchungu
Mimi hua nasema kimahesabu kushinda tournament ni rahisi kuliko ligi.Ujue ni ushabiki tu, lakini man u Bado tuko phase za mwanzo kabisa kujenga timu...but we have to compete regardless