Mtu anaeconment akiumia utamjua tu 🤣
Tulia tulia ndo wanavaa viatuLeo ndiyo mtaelewa kama Arsenal ana attacking mbovu au nzuri
Ni kuloweka tuKweli nimeamini mume hamtongozi mkewe 😂
Msimu huu wamefunga magoli mangapi ya set pieces?font silii ya chelsii walichopata cha kufanana ni kadi za njano tu
sasa hivi wao ndio wanatumia set pieces kupata magoli
tukianza sisi mtasikia hadi mamaake molinyo analalamika
wengine wote kasoro arsenal nawasiopata magoliMsimu huu wamefunga magoli mangapi ya set pieces?
Hilo goli ya kwanza waliloruhusu Arsenal msimu huu limefungwa na back 4 ?
Vipi aliyewafunga goli la mapema, unamzungumziaje? Kawakataa then kawafungaanyway mchezaji hatari wa cheisii ni pedro neto tu
kila akishika mpira unajua kuna jambo anataka kufanya ila hao mnaowapigia kelele mnawajaza ujinga tu
mmemuona tsoliz haimbwi kwa presha so anafanya huku hakuna matarajio makubwa kwake tofauti na hao mia mia
bruno g angekuwa chelsea angeanza vizuri tu ila arsenal kakaa benchi vizuri tuna timu imeshinda
NB: Mke hatongozwiNi kuloweka tu
Yule dogo ziyech haonekani aje kushusha majaridaWazenge wamekimbia jukwaa 😂😂😂
WahuniNB: Mke hatongozwi