mbona huulizi aliyewakimbia halafu akawafunga na akashangiliaVipi aliyewafunga goli la mapema, unamzungumziaje? Kawakataa then kawafunga
Vipi aliyewafunga goli la mapema, unamzungumziaje? Kawakataa then kawafunga
Anafikiri boli linachezwa kwa mapambio. Anadai Arsenal world class ni wawili tu halafu Chelsea wana world class hadi bench.Yule dogo ziyech haonekani aje kushusha majarida
Hamnamo kitu mule anajikuta chambuzi la makenge huku anabebwa na mahabaAnafikiri boli linachezwa kwa mapambio. Anadai Arsenal world class ni wawili tu halafu Chelsea wana world class hadi bench.
Jamaa anaongea pumba sana halafu hajishtukii.
Kwahiyo mmeamua kutengeneza kikao chenu cha mchono kunijadili mwanaume wa shoka kilichotuangusha ni kiungo na defence ila angekuwa Mzee mzima Caicedo mngetoa miruziAnafikiri boli linachezwa kwa mapambio. Anadai Arsenal world class ni wawili tu halafu Chelsea wana world class hadi bench.
Jamaa anafurahisha sana post zake.
Kai katufunga ila haibadilishi kuwa ni Average player, Average players ni wale ambao hawana muendelezo mzuri wa kiwango ndio maana tukamuuza.Hamnamo kitu mule anajikuta chambuzi la makenge huku anabebwa na mahaba
Mmeshindwa lakini mmebana pumbuMashabiki wa Chelkenge amkeni mnalala sana mna raha gani kuku nyie🤠🤠...mna mikwara mingi sana kama Kile kimbwa kinaitwa Chiwawa
Yule hawezi kutuuma kwasababu sisi ndio tumemuuza kwasababu ya kutokuwa na mwendelezo mzuri wa performance lakini Morgan Rogers kawakataa pamoja na kubeba ubingwa kwasababu ya mabingwa wa duniambona huulizi aliyewakimbia halafu akawafunga na akashangilia
unazidisha mahaba hadi huoni uhalisiaKwahiyo mmeamua kutengeneza kikao chenu cha mchono kunijadili mwanaume wa shoka kilichotuangusha ni kiungo na defence ila angekuwa Mzee mzima Caicedo mngetoa miruzi
Wewe ndio unaingiza mahaba ndio maana huwezi kuona facts zanguunazidisha mahaba hadi huoni uhalisia
Kwani Chelsea haijawahi fungwa na arsenal CAICEDO akiwepoKwahiyo mmeamua kutengeneza kikao chenu cha mchono kunijadili mwanaume wa shoka kilichotuangusha ni kiungo na defence ila angekuwa Mzee mzima Caicedo mngetoa miruzi
Nitajie game ambayo Caicedo alikuwepo na akaonekana mbele riceKwahiyo mmeamua kutengeneza kikao chenu cha mchono kunijadili mwanaume wa shoka kilichotuangusha ni kiungo na defence ila angekuwa Mzee mzima Caicedo mngetoa miruzi
Team yenu ilibebwa Gabriel alitakiwa ale red card kwa kuhatarisha afya ya Kipa wetu kwa ule mguu aliyomkita Martinez ukiachana na hapo Refa alikuwa atoi kadi za njano Konsa kacheza rafu tano ikiwemo kumbeba Joao Pedro na zote hajapata yellow card