Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Double Striker
 
Attachments

  • Screenshot_20260805_143300_BeSoccer.jpg
    Screenshot_20260805_143300_BeSoccer.jpg
    61.5 KB · Views: 7
Wala sijakuhakikishia anakuja ,ila hoja zako za kitoto sana

Eti mara ata downgrade ,mara Arsenal hawawezi kumlipa

Hivi mnavuta marijuana?View attachment 3641510
David Ornstein aliwapa mahopes za uongo Arsenal fans wakaingia mkenge 😭🔥Vinícius Junior hakuwahi kutaka kuhamia Arsenal; jamaa alitumia jina la Arsenal tu kupata dili lake Madrid, na Real Madrid wakasalimu amri kwa mahitaji yake 😂💀
1786060072522.png
 
David Ornstein mahopes za uongo Arsenal fans wakaingia mkenge 😭🔥Vinícius Junior hakuwahi kutaka kuhamia Arsenal; jamaa alitumia jina la Arsenal tu kupata dili lake Madrid, na Real Madrid wakasalimu amri kwa mahitaji yake 😂💀
View attachment 3644843
Huyo jamaa ni mlevi, yaani aliamini kuwa Vin ataenda kwenye hako katimu kao ka ragby.
 
Baada ya huyu nafasi ya uchezaji ungependa tufanye usajili
Kuna uwezekano Enzo Fernandez akasepa, Man City na Real Madrid watahitaji kiungo baada ya kumkosa Rodri hivyo Chelsea itamhitaji mbadala wa Enzo ambaye ni kati ya Adam Wharton na Alex Scott.
Pia CB mbadala wa Badiashile ila haya yote itategemea mauzo. Bei ya Enzo inaweza kutupa wachezaji wawili wazuri yaani Kiungo na CB
Wachezaji walioko sokoni ni Disasi, Badiashile, Gusto, Neto, Delap, Jackson, na Tosin. Kuna uwezekano Enzo, Gusto, Neto, na Jackson wakatuletea casha hao wengine mkopo wa kulipwa baadaye
 
Hii timu ni laana !
Mmeshasajili wachezaji 11, ligi ikianza mmnabanduliwa kama kawaida, mnaishia nafasi ya 17
 
Kuna uwezekano Enzo Fernandez akasepa, Man City na Real Madrid watahitaji kiungo baada ya kumkosa Rodri hivyo Chelsea itamhitaji mbadala wa Enzo ambaye ni kati ya Adam Wharton na Alex Scott.
Pia CB mbadala wa Badiashile ila haya yote itategemea mauzo. Bei ya Enzo inaweza kutupa wachezaji wawili wazuri yaani Kiungo na CB
Wachezaji walioko sokoni ni Disasi, Badiashile, Gusto, Neto, Delap, Jackson, na Tosin. Kuna uwezekano Enzo, Gusto, Neto, na Jackson wakatuletea casha hao wengine mkopo wa kulipwa baadaye
Mimi binafsi natamani Enzo auzwe kwa Pound mil 150m kwenye hiyo tupate ya kununua Kipa ambaye ni Diogo Costa na Alex Scott badala ya beki nafasi ya Colwil inaweza kuchezwa na Hato, upande wa Maxence Lacroix anaweza kucheza Fofana.
 
Zijue Sheria 6 Mpya za EPL Msimu wa 2026/27

1️⃣ Timu zitapoteza throw‑in au kutoa kona kwa wapinzani ikiwa zitachelewesha kuanza upya zaidi ya sekunde tano baada ya refa kuanza kuhesabu kwa ishara.
2️⃣ Mchezaji anayetolewa nje kwa sababu ya kujeruhiwa lazima atoke ndani ya sekunde 10, nje na hapo hataruhusiwa kuingia kabla ya dakika moja kamili ya mchezo kuanza.
3️⃣ Mchezaji anayehitaji matibabu uwanjani lazima abaki nje ya uwanja kwa angalau sekunde 60 baada ya mchezo kuendelea.
4️⃣ VAR imepewa mamlaka ya kupitia na kubatilisha makosa ya wazi yanayohusu kadi ya pili ya njano.
5️⃣ Kuvuta nywele kwa makusudi kunasababisha kadi ya njano moja kwa moja, au kadi nyekundu ikiwa nguvu kubwa imetumika.
6️⃣ VAR itaingilia mara moja kurekebisha adhabu yoyote iliyotolewa kwa mchezaji asiye sahihi.
 
Mimi binafsi natamani Enzo auzwe kwa Pound mil 150m kwenye hiyo tupate ya kununua Kipa ambaye ni Diogo Costa na Alex Scott badala ya beki nafasi ya Colwil inaweza kuchezwa na Hato, upande wa Maxence Lacroix anaweza kucheza Fofana.
Kipa hatutamnunua, hata mimi binasfi siungi mkono. Diogo Costa akija ana miaka mingi ya kuwa starter na moja kwa moja atamzuilia njia Mike Penders. Mimi naamini msimu huu huu Penders atamweka benchi Sanchez. Mike Penders ni kipa mzuri sana zaidi ya Diogo Costa akizoea ligi.
Xabi Alonso amekiri kuwa msimu ujao ana imani na Robert Sanchez, Mike Penders and Teddy Sharman-Lowe.

1786115270325.png
1786115595527.png
 
Makombe Aliyoshinda Jordan Henderson
  • Ligi Kuu ya England (Premier League): 2019–20
  • UEFA Champions League: 2018–19
  • FA Cup: 2021–22
  • EFL/League Cup: 2011–12, 2021–22
  • UEFA Super Cup: 2019
  • FIFA Club World Cup: 2019
  • FA Community Shield: 2022
Tuzo za Heshima
  • FWA Mchezaji Bora wa Mwaka: 2019–20
  • Mchezaji Bora wa England wa Mwaka: 2019
  • Mchezaji Bora wa England U21 wa Mwaka: 2012
Huyo Tosin kashinda kitu gani cha kuwahamasisha wenzake?

Nyongeza

Makombe Aliyoshinda Danny Welbeck

Manchester United

Haya tuambie tenma huyo Tosin anatamba na nini Dressing room kwa hao watoto?
  • Premier League: 2012–13
  • Football League Cup: 2008–09, 2009–10
  • FA Community Shield: 2011, 2013
  • UEFA Champions League: 2007–08
  • FIFA Club World Cup: 2008
Arsenal
  • FA Cup: 2014–15, 2016–17
  • FA Community Shield: 2017
Ila huyu tapeli wa kuitwa Tosin 😂 jamaa hana presha kabisa amerelax tuu ili mradi mwisho wa wiki pesa yake inaingia, nahis akiondolewa Chelsea itabidi astaafu mana hakuna timu inayojitambua itategemea uwezo wake.
 
Kipa hatutamnunua, hata mimi binasfi siungi mkono. Diogo Costa akija ana miaka mingi ya kuwa starter na moja kwa moja atamzuilia njia Mike Penders. Mimi naamini msimu huu huu Penders atamweka benchi Sanchez. Mike Penders ni kipa mzuri sana zaidi ya Diogo Costa akizoea ligi.
Xabi Alonso amekiri kuwa msimu ujao ana imani na Robert Sanchez, Mike Penders and Teddy Sharman-Lowe.

View attachment 3645401View attachment 3645406
Kwa maana hiyo nguvu kubwa zitawekezwa kwa kusajili midfielder, Mike sijawahi kumuona ndio maana siwezi kumjudge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom