Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona Thiago Silva kajiunga na Chelsea akiwa na 35 na kaondoka akiwa na 39 tena akiwa na ubora

Naelewa, ndo nimesema mambo yamebadilika.... enzi za Roman mchezaji akiingia 3rd floor , mkataba hapewi tena mrefu .... anyway mko na wamarekani, tuone pengine wana maono tofauti na sera ya club
 
Ukiona nguvu kubwa inatumika sana kumtetea kibabu Hendo kweli kuna shida hapo .....

Brentford 🐝 wamekubali kuvunja mkataba nae awe free ili aje kwenu ! Wanajua amna kitu hapo .....

Maji ya jioni, wacha aje astaafe hapo darajani !

Nakumbuka enzi za Roman, na Marina mchezaji akifikisha 30yrs hapewi tena mkataba mrefu ! Refer kina Terry, Didier, Essien , super Frankie n.k

#Leo hii welbz na Hendo over 35 wanalamba mkataba ?

Mnachekesha kama sio kuhuzunisha
Ninyi kinachowauma ni nini hasa, tunamtete sana kwa sababu ninyi hamjui hata ni kwa sababu ganiu kasajiliwa. Wabishi tu
 
1785771310044.png
 
Ninyi kinachowauma ni nini hasa, tunamtete sana kwa sababu ninyi hamjui hata ni kwa sababu ganiu kasajiliwa. Wabishi tu

Changamoto sana, ila ndio wacha tuone ... kuna haja ya kukwesheni uongozi wenu .....
 
Naelewa, ndo nimesema mambo yamebadilika.... enzi za Roman mchezaji akiingia 3rd floor , mkataba hapewi tena mrefu .... anyway mko na wamarekani, tuone pengine wana maono tofauti na sera ya club
Tumeamua kubadilisha kwasababu tumeona vijana pekee hawatulipi ndio maana tumeleta wachezaji wakomavu mfano Tulivyomsajili Thiago Silva akiwa na 36 kila kitu kilibadilika akatupa Mataji matatu na alivyoondoka tu akiwa na 39 pengo lake likaanza kuonekana kwa hiyo haimanishi ukiwa na umri mkubwa huwezi kudeliver. Ukiangalia kwenye kikosi chetu cha Sasa kina mchanganyiko wa aina zote wapo vijana wa 22-24, 25-30 na 30+ so hapo high intensity utapata, ukomavu wa maamuzi utapata
 
Hivi deal la Pep Chavarria imeishiaje?
Dili tayari, Chelsea na Rayovolacano wameshakubaliana dili la Euro milioni 25 na addons za mil 5
Muda wowote wiki hii mtasikia HERE WE GO jamaa yuko Londona anapima mkojo, choo na damu
 
Dili tayari, Chelsea na Rayovolacano wameshakubaliana dili la Euro milioni 25 na addons za mil 5
Muda wowote wiki hii mtasikia HERE WE GO jamaa yuko Londona anapima mkojo, choo na damu
Hapo sawa nafikiri tutasikia here we go baada ya matokeo dhidi ya AC Milan ndio umekuwa kama kautaratibu Fulani wa Chelsea
 
Hapo sawa nafikiri tutasikia here we go baada ya matokeo dhidi ya AC Milan ndio umekuwa kama kautaratibu Fulani wa Chelsea
Fabrizio Romano leo anasema ni Euro mil 19 japo taarifa za mwanzoni pia zilitoka kwa reliable journalists
1785915702980.png
 
Mkuuu kama utakuwa na Link itapendeza maaana hzi zote zinazingua
Link ya browser, hii nimeitumia muda mrefu hawaifungii. App n yingi na website nyingi huwa zinafuatiliwa na kushushwa chini kwa sababu zinakiuka protocols za leseni ya kurusha hizo burudani. Hii lin k inaonyesha karibia kila mechi ila ni muda mfupi kabla ya mechi kuanza. Kwa hiyo ukifungua sasa hivi utakuta kimya as if hakuna hata kitu kinachoendelea:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom