lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,036
Nafasi zilziobakiwa ni mbili na zitategemea wachezaji watakaouzwaKwa maana hiyo nguvu kubwa zitawekezwa kwa kusajili midfielder, Mike sijawahi kumuona ndio maana siwezi kumjudge
Enzo Asipouzwa, hatutasajili kiungo (Kiungo ambao Alonso anawataka ni kati ya Alex Scott na Adam Wahrton)
Tosin asipouzwa sidhani kama tutasajili CB. Hata kama akienda kwa mkopo, nafasi yake itabidi izibwe.
Kulikuwa pia na tetesi kuwa Chelsea inaweza kumsajili kipa veteran wa hapo hapo Uingereza (Rumours, sidhani kama zina ukweli wowote) ili aje kuwa kipa wa tatu na ikitokea hivyo Teddy Sharman-Lowe ataenda mkopo au atauzwa.