Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shida tunayopata mtaani huku ni siri yetu
Sisi mbona wastaarabu sana kwenye suala la kujigamba na ubingwa ? Wangeshinda Manyumbu mpaka leo hii wangekuwa wanatusumbua. Ila sisi tulisherekea siku 2-3 paaap....tukaendelea na shughuli zingine za kujenga taifa.
 
Ila mngefanikiwa kumchukua Vini, UCL ilikuwa 67% ya kwenu. Ila kwa safu yenu ile kama mnaendelea kutegemea mipira ya kona kupata magoli basi safari bado ndefu sana
Vini hakuwa na nia yoyote ya kuja London. Alituomba tu tumsaidie kupata donge nono kutoka Madrid, na si mnatujua sisi tulivyo mabwana huruma? Tukamsaidia kwa kujidai tunamfukuzia ila sisi tuliwataka Tzolis ambaye tulimpata, na Rogers ambaye hawa Chelkenge walitunyang'anya tonge mdomoni. Wahuni sana hawa Chelkenge.
 
Hii mechi tunafungwa
Hii timu ya Johor Darul Ta'zim ndio mabingwa wa Malaysia Super League na sisi tunaenda kuwawekewa watoto wasio na uzoefu kiwanjani hadi kwenye benchi.
Sijui kocha kwa nini amemuondoa Mike Penders, hii mechi ndio ilikuwa size yake
1786275486665.png
 
View attachment 3647023
Kumbe hii mechi ilipwangwa kwa dharura ili hawa watoto wapate chance ya kucheza?
1786276926815.png
 
Hii mechi tunafungwa
Hii timu ya Johor Darul Ta'zim ndio mabingwa wa Malaysia Super League na sisi tunaenda kuwawekewa watoto wasio na uzoefu kiwanjani hadi kwenye benchi.
Sijui kocha kwa nini amemuondoa Mike Penders, hii mechi ndio ilikuwa size yake
View attachment 3647023
Mike Penders ni first team akigombaniana na Sanchez ndio maana hayupo kabisa
 
Essugo hatufai kabisa sio level ya hata ya kukaa benchi unachezaje ligi kubwa kama EPL alafu ujui kupiga pass binafsi nilitegemea ataimprove alishawahi kuambiwa na Enzo Maresca kwa kweli anakera mno huyu jamaa ni kuuzwa kabisa
 
50/50 for me. Dario Esugo anasumbuliwa na confidence ya kutocheza continuously tangu aje na ukumbuke Chelsea ni jinamizi kubwa kwa hawa watoto. Auzwe Strasbourg na kumfanyia monitoring huko.
 
Hii mechi tunafungwa
Hii timu ya Johor Darul Ta'zim ndio mabingwa wa Malaysia Super League na sisi tunaenda kuwawekewa watoto wasio na uzoefu kiwanjani hadi kwenye benchi.
Sijui kocha kwa nini amemuondoa Mike Penders, hii mechi ndio ilikuwa size yake
View attachment 3647023
Mamadou Sarr na Aaron Anselmino majeruhi, kunani zaidi kwa hawa vijana?
 
Chelsea leo imehitimisha International Pre-season tour kule Malaysia. Preseason ya mwisho nyumbani dhidi ya Real Sociedad tarehe 15 August 2026 saa 10 jioni kabla hatujakutana na Fulham majirani zetu wa kilomita 2 kwenye Ligi.
1786285630880.png
 
50/50 for me. Dario Esugo anasumbuliwa na confidence ya kutocheza continuously tangu aje na ukumbuke Chelsea ni jinamizi kubwa kwa hawa watoto. Auzwe Strasbourg na kumfanyia monitoring huko.
Tunabidi tuongeze kiungo mmoja
 
Tuna viungo watano wanaogombania nafasi mbili
Caseido
Enzo
Lavia
Barco
Henderson huyo Essugo sijamuweka
Sioni kama kuna biashara nyingine labda kama tutauza wawili kati ya hao 6
Pia Reece James anahesabiwa kwenye sehemu tatu
RB
RCB
DM
 
Team yetu inahitaji midfielder mwenye uwezo wakudominate katikati aina kama Rodri au mwenye uwezo wa kukokota mpira ball carrier kwasababu team nyingi za Epl zinacheza mchezo wa low block
 
Atanunuliwa tu Enzo Fernandez akiuzwa, vinginevya hakutakuwa na logic ya kujaza viungo wa mil 100+ bila kucheza. Inavyoelekea Enzo anabaki Chelsea kwa 90%
 
Mashabiki wengi wa Chelsea na football kwa ujumla Wana mu underrate sana Pedro Neto tuna wasifia wachezaji wengine kama Palmer, Caicedo n.k tunamuacha huyu jamaa lakini asikuambie mtu moja kati ya wachezaji muhimu ni huyu jamaa ndio maana makocha wengi huwa wanampenda baada ya ujio wa Estevao wengi waliona atapigwa benchi dhidi ya huyu lakini haikuwa hivyo.

Pedro Neto anapendwa na makocha wengi kwasababu Pedro Neto ana workrate kubwa uwanjani kuliko mawinga wengi mafundi, ana kasi alafu ni mzuri sana kwenye kufanya majukumu ya ukabaji. Kwa aina ya mfumo wa Alonso wa mabeki watatu nawaambia ukweli Pedro Neto atakuwa first choice ya Winger ,wa pili atakuwa Quenda na mwisho ni Estevao yeye ndio anakizi nafasi ya Wing back na Quenda kwa Estevao hafit ila kama mfumo utakuwa wa mabeki wanne.
 
Pedro Neto (26) ni mpuuzi sana. Nusu ya msimu uliopita alizima data kabisa na kucheza vibaya kwa makusudi. Build‑ups zikimfikia yeye anaharibu, na usitake tukuwekee video zake kama uliacha kumfuatilia. Ni kwa sababu yake, na wengine kama Malo Gusto, Chelsea ilimaliza nafasi ya 10. Akiuzwa Neto, ni kwa usalama wa Chelsea.

Bahati nzuri Quenda na Estevão wataweza kuziba hiyo RW. Estevão anahitaji tu Xabi Alonso ampe maelekezo aache ubinafsi na ajifunze kutoa pasi badala ya mambo mengi yasiyolingana na umri wake. Quenda sina shida naye—anaweza kupata dakika nyingi kuliko Estevão kwa sababu anaonekana yuko mature zaidi kwenye maamuzi.

1786479827805.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom