kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,820
- 20,807
Mudryck mkimbiza upepo , end product zero ! Wacha aje amchangamshe Gittens ule upande......starboy Garna si mlimfukuza
Nakubali xhaka angetusaidia ila mimi sioni ni wapi uongozi ulizingua miaka 34 fair price haitakiwi kuzidi £15Upande wa midfield tuna Shida kidogo Lavia pamoja na Essugo hawana sifa ya kucontrol game na ndio maana Spurs wakatawala mchezo but upande wa beki na kule mbele tuko vizuri ila kama Uongozi wataendelea kumkumbatia Tosin atatugharimu mechi nyingi sana inabidi amuuze Hana sifa hata ya kukaa benchi. Alonso aliliona hili kwenye middle ndio maana akawa anamuhitaji Xhaka Uongozi wakaleta usela mavi
Umemaliza kila kitu mwambaNakubali xhaka angetusaidia ila mimi sioni ni wapi uongozi ulizingua miaka 34 fair price haitakiwi kuzidi £15
Cha maana mm nilichoona kama red flag ni pressing intensity kama bado ipo chini tukiwa hatuna mpira bado hatupendi kuwa aggressive (sijui ni game approach/fitness match)
Mengine yanahitaji uvumilivu maana kuna kundi kubwa la wachezaji wa kusafishwa hao kina Tosin,Delap wamecheza sababu ni preseason ila sio caliber ya wachezaji wa Chelsea
Tusubiri tuone maingizo mapya kama yataimprove team au lah
Tosin si ndio wazee wenyewe mnaowataka? auzwe tena?Upande wa midfield tuna Shida kidogo Lavia pamoja na Essugo hawana sifa ya kucontrol game na ndio maana Spurs wakatawala mchezo but upande wa beki na kule mbele tuko vizuri ila kama Uongozi wataendelea kumkumbatia Tosin atatugharimu mechi nyingi sana inabidi amuuze Hana sifa hata ya kukaa benchi. Alonso aliliona hili kwenye middle ndio maana akawa anamuhitaji Xhaka Uongozi wakaleta usela mavi
Tosin ana historia gani inayombebaTosin si ndio wazee wenyewe mnaowataka? auzwe tena?
Mudryk sio takatakaHadi wewe 😂
Naamini hujasoma na kama umesoam unakengezaYaani wewe akili huna ,Mimi nakupa fact na taarifa za Timu yake yaani mawakala wake wameshawekewa ofa ya Arsenal kibiashara ndani na nje ya uwanja
Wewe unasema hawezi kuja 🤣
Tena ulivyo huna akili unaenda kumuuliza chatgp 🤣🤣
Vini Jr kwa Madrid sasa hathaminiki ,mkubwa pale ni mbappe
Vini Jr kuja EPL kwanza ataifanya ligi izidi kuwa na mvuto
Endorsement anazopata Madrid atazipata Arsenal
Yote hayo yamesha kuwa calculated ndio maana taarifa zinasema Ashaongea na Arsenal .
Kinachosubiriwa kama Madrid wataongeza ofa yake au lah
Image rights atakayopata Arsenal ni 100% inakwenda kwake , wakati madrid wanampa 50%
Makampuni yale yale yanayomdhamin sasa ndio hayo hayo yataendelea kumdhamini Arsenal
Most of 90% ya mashabiki wa Chelsea wamewaka sana huko mitandaon kusikia Arsenal inamtaka Vini Jr .
Hofu yenu ni ipi?
Kinachowauma ni kuingizwa Chaka mkatoa 117 kwa mchezaji wa kawaida Rogers,halafu mnaona watu wanataka kuwekeza pesa kama hiyo kwa Vini Jr 🤣
Aliondoka CR7,Ozil, n.k ,itakuwa Vini Jr
Wala sijakuhakikishia anakuja ,ila hoja zako za kitoto sanaNaamini hujasoma na kama umesoam unakengeza
Tusubiri tuone kama Vini atakuja Arsenal kujidowngrade
Acha matusi kwa sababu hayo matusi hayatasimama badala ya ukweli
Vini akija Arsenal nitafute nikupe zawadi nzuriWala sijakuhakikishia anakuja ,ila hoja zako za kitoto sana
Eti mara ata downgrade ,mara Arsenal hawawezi kumlipa
Hivi mnavuta marijuana?View attachment 3641510
Anajua, hii ni preseason tu. Timu ya kuunga unga. Ile safu ya dakika ya 80 iliingia matakataka kweliAu Alonso hajui kuwa Chelsea Hua haipotezi kwa spurs? 😂
Huyu jamaa huwa anakera ile mbaya ni Kawaida yake huwa hajiangaishi kufuata mpira ukimpita umempita ni mzito na anakabia macho anacheza as if ni Mzee wa miaka 45 hukoHuyu jamaa ni PIPA, hata pipa likipulizwa na upepo linajiviringisha. Goli la pili yeye kakaa tu baada ya kushindwa kufanya clearance ya long ball ya kipa wa Spurs, haendi hata kucounter defend, kasimama tu kama nguzo ya umeme ya Tanesco.
View attachment 3641521
Bora tumekuja sasa kuongea lugha moja?, Henderson ana historia gani inayombeba?Tosin ana historia gani inayombeba
Kuna kitu wewe uko offpoint. Kusudi kuu la kumsajili Jordan Henderson sio kuja kucheza kama Enzo au Caicedo. Yedye ni kama mlezi wa dressing room. Balance ya Midfield haitatokana na usajili wa Jordan.Bora tumekuja sasa kuongea lugha moja?, Henderson ana historia gani inayombeba?
Tungemsajili Xaka ningeelewa ila sio hiyo takataka.
Preseason sio kisingizio, spurs tunamfunga hata tukicheza bila kipa na washambuliajiAnajua, hii ni preseason tu. Timu ya kuunga unga. Ile safu ya dakika ya 80 iliingia matakataka kweli