Yaani wewe akili huna ,Mimi nakupa fact na taarifa za Timu yake yaani mawakala wake wameshawekewa ofa ya Arsenal kibiashara ndani na nje ya uwanja
Wewe unasema hawezi kuja 🤣
Tena ulivyo huna akili unaenda kumuuliza chatgp 🤣🤣
Vini Jr kwa Madrid sasa hathaminiki ,mkubwa pale ni mbappe
Vini Jr kuja EPL kwanza ataifanya ligi izidi kuwa na mvuto
Endorsement anazopata Madrid atazipata Arsenal
Yote hayo yamesha kuwa calculated ndio maana taarifa zinasema Ashaongea na Arsenal .
Kinachosubiriwa kama Madrid wataongeza ofa yake au lah
Image rights atakayopata Arsenal ni 100% inakwenda kwake , wakati madrid wanampa 50%
Makampuni yale yale yanayomdhamin sasa ndio hayo hayo yataendelea kumdhamini Arsenal
Most of 90% ya mashabiki wa Chelsea wamewaka sana huko mitandaon kusikia Arsenal inamtaka Vini Jr .
Hofu yenu ni ipi?
Kinachowauma ni kuingizwa Chaka mkatoa 117 kwa mchezaji wa kawaida Rogers,halafu mnaona watu wanataka kuwekeza pesa kama hiyo kwa Vini Jr 🤣
Aliondoka CR7,Ozil, n.k ,itakuwa Vini Jr