Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1784835200491.png
 
Hakuna anaepinga ubora wa Baston lakini unapaswa ujue na mahitaji ya team yakoje, Baston anacheza kwenye formation ya mabeki watatu upande anaocheza Colwin sisi tunahitaji beki wa katikati kwenye hiyo formation mwenye uwezo sio tu wakudefend lakini wa kufanya build up na mwenye uzoefu wa ligi ndio maana tunamtaka Maxence Lacroix
Umemjibu vizuri, Chelsea inamtafuta mtu wa kucheza kwenye Right Center Back. Maxence Lacroix anacheza Right Center bAck au CCB na ndio amana anafukuziwa ili aje kuwa partner na Colwill.
Kwenye backline ya 3 Maxence Lacroix atacheza CCB na Colwill atacheza LCB na JOhn Stone atacheza RCB
 
Hawa acanemy kesho wana kwea pipa kwenda Australia kwenye pre season na timu ya kwanza. Xabi Alonso anawapenda kishenzi.
  1. Calvin Diakite
  2. Mahdi Nicol-Jazuli
  3. Reggie Walsh
  4. Landon Emenalo
  5. Olutayo Subuloye
  6. Ryan Kavuma-McQueen
  7. Reggie Watson
 
Nitajie wawili hapo wanaojua sana
 
🔥💙 Maxence Lacroix to Chelsea… HERE WE GO! 💙🔥
📝 Mambo yamekamilika! Ofa rasmi imekubaliwa na Crystal Palace — makubaliano ya msingi yalifungwa jana usiku.
🏥 Medical inaendelea London kwa beki wa Kifaransa.
💰 Ada ni £52 milioni, na Axel Disasi HAJAHUSISHWA kwenye dili.
📄 Lacroix atasaini mkataba mrefu hadi Juni 2032.
🔵 Chelsea wanaendelea kujijenga upya daraja la Stamford Bridge!
-Fabrizio Romano

1784882725151.png
 
View attachment 3635837
Hapo bado left back na kiungo mmoja wa chini tumemaliza kazi
 
Hawa acanemy kesho wana kwea pipa kwenda Australia kwenye pre season na timu ya kwanza. Xabi Alonso anawapenda kishenzi.
  1. Calvin Diakite
  2. Mahdi Nicol-Jazuli
  3. Reggie Walsh
  4. Landon Emenalo
  5. Olutayo Subuloye
  6. Ryan Kavuma-McQueen
  7. Reggie Watson
Emenauel Emegha na Giovani Quenda hawapo kwenye orodha ya wachezaji waliosafiri leo kwenda Australia.
Taarifa zinadai wameumia, wako majeruhi nadhani mazoezini au katika mechi ya jana dhidi ya Bromley FC ambapo waliwafunga 3-0
 
Hizi pesa za kufanya usajili mkubwa kila dirisha Chelsea wanazitoa wapi? Chelsea wanabahati ya kuwapata watoa pesa ila wanakosa watumiaji wa peaa ili kuleta burudani.
 
Angalau naona usajili huu unafanyika kwa mahitaji ya timu hasa
 
Hizi pesa za kufanya usajili mkubwa kila dirisha Chelsea wanazitoa wapi? Chelsea wanabahati ya kuwapata watoa pesa ila wanakosa watumiaji wa peaa ili kuleta burudani.
Usajili huu tunaofanya yana mahitaji ya kocha ukiangalia Usajili wa Marco Palestra ni defender Bora wa ligi ya Italia msimu uliopita, Maxence LaCroix kaipa taji Crystal Palace akiwa ndio camptain wao ukija kwa Morgan Rogers ana misimu miwili mfululizo Yuko mwenye kiwango cha juu na wale walishindwa wanaondolewa kwa kuuzwa kwa faida.
 
Alonso amjenge kisaikolojia Jackson ,Talent ipo pale ila kichwa haijatulia ,nikikumbuka partnership ya Cole Palmer na Jackson ilikuwa imeshaanza kuzaa matunda,pressing machine mpaka akina Cole Palmer wakawa wanapata spaces za kuroam na kufunga sana ,tatizo la Jackson ni kumalizia .Sijamkatia Jackson bado
 
Attachments

  • Tonight_ V stepped into the crowd_ taking in live performances at Vogue World_ Hollywood. Know...mp4
    1.1 MB
Hizi pesa za kufanya usajili mkubwa kila dirisha Chelsea wanazitoa wapi? Chelsea wanabahati ya kuwapata watoa pesa ila wanakosa watumiaji wa peaa ili kuleta burudani.
Tumeuza wachezaji wacheni kujitoa ufahamu. Halafu kila mchezaji anayesajiliwa mahesabu yanaghawanywa kwenye miaka ya mkataba. Mfano mahesabu ya Rogers yaliyoingizwa mwaka huu wa fedha ni Pauni 23m tu
 
Alonso amjenge kisaikolojia Jackson ,Talent ipo pale ila kichwa haijatulia ,nikikumbuka partnership ya Cole Palmer na Jackson ilikuwa imeshaanza kuzaa matunda,pressing machine mpaka akina Cole Palmer wakawa wanapata spaces za kuroam na kufunga sana ,tatizo la Jackson ni kumalizia .Sijamkatia Jackson bado
Nicolas Jackson hayupo kwenye timu iliyokwenda Australia na hajaumia. Maana yake anauzwa na Unai Emery ameanzisha mazungumzo ya kumnunua Jackson.
 
Bastoni ni beki mzuri na mwenye uzoefu, fuatilieni ligi mbali mbali msiishie epl tu.
Bastoni ni takataka kama hao wengine, hawezi ligi ya Uingereza ambayo ni physical
  1. Yeye ni slow kama Disasi na Tosin kama humjui
  2. Ni mbovui kwenye 1v1 defending
  3. Anajiamini sana ahdi ananyang'anywa mpira kirahisi, staili ya Wesley Fofana
  4. Ana mwili lakini hana physicality na ubabe wa kushindana na mastriker kama Haaland nk
  5. Ni mzembe wa kuzuia krosi, anachelew3a kufunga njia
  6. Ana alergy na long ball, hawezi kuthibiti mipira mirefu kabisa
HITIMISHO
Bastoni ni beki mzuri sana kwenye pasi fupi fupi na positioning, lakini akikutana na winger mwenye speed na footwork kali, anakuwa kama beki aliyekuja mazoezi bila viatu. Anapenda kupandisha mpira, lakini akipoteza, counter anakuwa wa hovyo. Ligi kuu ya Uingereza itamuumbua sana akija.
 
Nakubaliana na wewe lkn wachezaji wangapi wameonekana wazuri ligi fulani kuja epl wakafeli?
Bastoni ni takataka kama hao wengine, hawezi ligi ya Uingereza ambayo ni physical
  1. Yeye ni slow kama Disasi na Tosin kama humjui
  2. Ni mbovui kwenye 1v1 defending
  3. Anajiamini sana ahdi ananyang'anywa mpira kirahisi, staili ya Wesley Fofana
  4. Ana mwili lakini hana physicality na ubabe wa kushindana na mastriker kama Haaland nk
  5. Ni mzembe wa kuzuia krosi, anachelew3a kufunga njia
  6. Ana alergy na long ball, hawezi kuthibiti mipira mirefu kabisa
HITIMISHO
Bastoni ni beki mzuri sana kwenye pasi fupi fupi na positioning, lakini akikutana na winger mwenye speed na footwork kali, anakuwa kama beki aliyekuja mazoezi bila viatu. Anapenda kupandisha mpira, lakini akipoteza, counter anakuwa wa hovyo. Ligi kuu ya Uingereza itamuumbua sana akija.
 
Hakuna anaepinga ubora wa Baston lakini unapaswa ujue na mahitaji ya team yakoje, Baston anacheza kwenye formation ya mabeki watatu upande anaocheza Colwin sisi tunahitaji beki wa katikati kwenye hiyo formation mwenye uwezo sio tu wakudefend lakini wa kufanya build up na mwenye uzoefu wa ligi ndio maana tunamtaka Maxence Lacroix
Takataka hiyo anamtetea bure hamjui vizuri, nimemjibu huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom