Joao Pedro
Senior Member
- Oct 21, 2025
- 172
- 216
Sawa tunasubir hiyo orodhaKesho panapo majaliwa nitakuja na orodha ya wachezaji tunao paswa kusajili, achana na hao matakataka. Kwa sasa usiku mwema nyote.
Sawa tunasubir hiyo orodhaKesho panapo majaliwa nitakuja na orodha ya wachezaji tunao paswa kusajili, achana na hao matakataka. Kwa sasa usiku mwema nyote.
Mchezaji anaweza kuwa mzuri machoni pako na machoni pa mashabiki wengi lakini asifae kwenye mfumo wa kocha so acha kujifanya your a suppercoach!Kesho panapo majaliwa nitakuja na orodha ya wachezaji tunao paswa kusajili, achana na hao matakataka. Kwa sasa usiku mwema nyote.
Double figure kwenye misimu mitatu mfululizo kwenye goals and assists na bado ana umri mdogoWewe Papaa Gx ngoja nikueleweshe kidogo kuhusu Morgan Rogers Chelsea imemsajili mchezaji mzuri sana ndani ya misimu miwili mfululizo takwimu za Morgan ni kama hizi:
2025/2026: goals 14 Assist 12 All competitions.
2024/2025: goals 12 Assist 12 All competitions.
1. Morgan Rogers amekuwa mchezaji Bora wa Aston villa
2. Ni kijana mdogo mwenye uzoefu wa ligi, amewin taji la Europe, Ameonesha kiwango kizuri michuano ya Champions league.
3. Morgan Rogers anaweza kucheza kwenye nafasi nyingi kama LW, AM na RW
4. Morgan Rogers ni Excellent ball carrier
5. Ana uwezo wa kufanya mikimbio nyuma ya defenders na kuingia kwenye box
6. Ana jicho zuri la pasi
7. Anajua kufunga
Huyo achana naye, unaweza kuta anaongelea kwenye klabu ya chang'aa kule MombasaSawa tunasubir hiyo orodha

Huwa na wasiwasi nae may be anafuatilia mechi za Chelsea pekee ndio maana ndio maana huwa anaponda wachezaji wengi tunawasajili nimeshangaa anamponda mpaka Maxence LaCroixHuyo achana naye, unaweza kuta anaongelea kwenye klabu ya chang'aa kule Mombasa![]()
Ni wachezaji wazuri lkn naona watalaam wameamua kuchukua mchezaji mwenye uzoefu na epl moja kwa moja kazi ibaki kumuingiza kwenye mfumo tu ujue sajili hizi ni kubet tu hata huyo bastoni anaweza kuja akafeli pia eplChelsea ni moja ya klabu kubwa katika ulimwengu wa soka. Lakini cha ajabu imekuja kupoteza huo ukubwa kutokana na matokeo pamoja na sajili zake za hovyo hovyo. Timu kama Chelsea inapaswa misimu yote iwe kwenye ushindani sio kusindikiza wengine. Ni ajabu sana tumekuwa kila msimu tunafanya sajili zile zile ambazo hazitupi matokeo chanya.
Timu imejaza matakataka kila mahala, kama tunahitaji kurudisha huo ukubwa tunapaswa kutoa hao matakataka. Kisha tuachane na sajili za hovyo hovyo, tunapaswa kuendana na ukubwa tulio kuwa nao. Ni bahati nzuri kuwa msimu huu tutashiriki mashindano ya ndani pekee hivyo kocha ana muda mrefu wa kujenga timu kwa upana. Kwa fursa hiyo inapaswa kutumika ipasavyo.
Hawa ni wachezaji ambao binafsi naona watatusaidia katika kurudisha hadhi yetu tuliyo kuwa nayo hapo awali. Kwanza kabisa kwenye nafasi ya GK yule takataka Sanchez inapaswa aondoke. Mbadala wake inapaswa tumsajili Marco Carnesecchi huyu anacheza katika klabu ya Atalanta ama Jean Butez huyu anakipiga pale Como. Kati ya hao wawili ningependa tumsajili mmoja, hawa ni wachezaji wazuri katika nafasi hiyo.
Kwa upande wa CB napendekeza tumchukue Alessandro Bastoni na Nico Schlotterbeck. Hawa mabeki ni wazuri sana hasa huyo Bastoni nimesema mara kadhaa hapa jukuani. Zile takataka, Fofana, Badiashile, Chalobah na wengineo wanapaswa kuondoka kupisha hizo mashine mbili.
Kwa mfumo anao tumia Xabi Alonso nimeona hutumia LM na RM kwa upande wa LM napendekeza tumsajili Federico Dimarco. Kwakuwa msimu huu tuna muda mwingi hivyo tuanze na hizo sajili kisha hao matakataka watakao baki watatolewa pole pole mpaka msimu ujao timu itakuwa inaelewaka.
Hitimisho: Kama tunahitaji kurudi katika ubora tulio kuwa nao tunapaswa kusajili wachezaji wenye hadhi ya kucheza kwenye klabu kama Chelsea sio kuokota okota tu matakataka.
Joao Pedro Hziyech22 lembu Mkohoti johsee
Iko unachohitaji ndio naona uongozi wanataka kufanya msimu huu ndio maana umeona Garnacho kasepa na wengine wanafuata lakini mpaka sijaona sajili mbaya wamefanya na still bado wanaendeleaChelsea ni moja ya klabu kubwa katika ulimwengu wa soka. Lakini cha ajabu imekuja kupoteza huo ukubwa kutokana na matokeo pamoja na sajili zake za hovyo hovyo. Timu kama Chelsea inapaswa misimu yote iwe kwenye ushindani sio kusindikiza wengine. Ni ajabu sana tumekuwa kila msimu tunafanya sajili zile zile ambazo hazitupi matokeo chanya.
Timu imejaza matakataka kila mahala, kama tunahitaji kurudisha huo ukubwa tunapaswa kutoa hao matakataka. Kisha tuachane na sajili za hovyo hovyo, tunapaswa kuendana na ukubwa tulio kuwa nao. Ni bahati nzuri kuwa msimu huu tutashiriki mashindano ya ndani pekee hivyo kocha ana muda mrefu wa kujenga timu kwa upana. Kwa fursa hiyo inapaswa kutumika ipasavyo.
Hawa ni wachezaji ambao binafsi naona watatusaidia katika kurudisha hadhi yetu tuliyo kuwa nayo hapo awali. Kwanza kabisa kwenye nafasi ya GK yule takataka Sanchez inapaswa aondoke. Mbadala wake inapaswa tumsajili Marco Carnesecchi huyu anacheza katika klabu ya Atalanta ama Jean Butez huyu anakipiga pale Como. Kati ya hao wawili ningependa tumsajili mmoja, hawa ni wachezaji wazuri katika nafasi hiyo.
Kwa upande wa CB napendekeza tumchukue Alessandro Bastoni na Nico Schlotterbeck. Hawa mabeki ni wazuri sana hasa huyo Bastoni nimesema mara kadhaa hapa jukuani. Zile takataka, Fofana, Badiashile, Chalobah na wengineo wanapaswa kuondoka kupisha hizo mashine mbili.
Kwa mfumo anao tumia Xabi Alonso nimeona hutumia LM na RM kwa upande wa LM napendekeza tumsajili Federico Dimarco. Kwakuwa msimu huu tuna muda mwingi hivyo tuanze na hizo sajili kisha hao matakataka watakao baki watatolewa pole pole mpaka msimu ujao timu itakuwa inaelewaka.
Hitimisho: Kama tunahitaji kurudi katika ubora tulio kuwa nao tunapaswa kusajili wachezaji wenye hadhi ya kucheza kwenye klabu kama Chelsea sio kuokota okota tu matakataka.
Joao Pedro Hziyech22 lembu Mkohoti johsee
Jackson kama kupewa nafasi kapewa na hata huko Bayern pia hakuna kipya kafanya ni muda sahihi wa yeye kuondolewa kwenye teamAlonso amjenge kisaikolojia Jackson ,Talent ipo pale ila kichwa haijatulia ,nikikumbuka partnership ya Cole Palmer na Jackson ilikuwa imeshaanza kuzaa matunda,pressing machine mpaka akina Cole Palmer wakawa wanapata spaces za kuroam na kufunga sana ,tatizo la Jackson ni kumalizia .Sijamkatia Jackson bado
Alonso amjenge kisaikolojia Jackson ,Talent ipo pale ila kichwa haijatulia ,nikikumbuka partnership ya Cole Palmer na Jackson ilikuwa imeshaanza kuzaa matunda,pressing machine mpaka akina Cole Palmer wakawa wanapata spaces za kuroam na kufunga sana ,tatizo la Jackson ni kumalizia .Sijamkatia Jackson bado
Ni wachezaji wazuri lkn naona watalaam wameamua kuchukua mchezaji mwenye uzoefu na epl moja kwa moja kazi ibaki kumuingiza kwenye mfumo tu ujue sajili hizi ni kubet tu hata huyo bastoni anaweza kuja akafeli pia epl
Nakubaliana na wewe lkn wachezaji wangapi wameonekana wazuri ligi fulani kuja epl wakafeli?Bastoni ni beki mzuri na mwenye uzoefu, fuatilieni ligi mbali mbali msiishie epl tu.
Iko unachohitaji ndio naona uongozi wanataka kufanya msimu huu ndio maana umeona Garnacho kasepa na wengine wanafuata lakini mpaka sijaona sajili mbaya wamefanya na still bado wanaendelea
Nakubaliana na wewe lkn wachezaji wangapi wameonekana wazuri ligi fulani kuja epl wakafeli?
Nicolas Jackson alishadekezwa wakati wa makocha walitangulia. Maresca alipotaka kubadili mambo baada ya ujio wa Joao Pedro akabwatuka bil;a hekima na agent wake naye akaonmgea hovyo. Kiufupi Jackson hawezi kuwa backup na atakuwa sumu Dressing room asipopewa nafasi ya kwanmza kwa hiyo kwa usalama wa timu ni bora tu aende Aston Villa anaelewana sana na Unai Emery.Alonso amjenge kisaikolojia Jackson ,Talent ipo pale ila kichwa haijatulia ,nikikumbuka partnership ya Cole Palmer na Jackson ilikuwa imeshaanza kuzaa matunda,pressing machine mpaka akina Cole Palmer wakawa wanapata spaces za kuroam na kufunga sana ,tatizo la Jackson ni kumalizia .Sijamkatia Jackson bado
Hakuna anaepinga ubora wa Baston lakini unapaswa ujue na mahitaji ya team yakoje, Baston anacheza kwenye formation ya mabeki watatu upande anaocheza Colwin sisi tunahitaji beki wa katikati kwenye hiyo formation mwenye uwezo sio tu wakudefend lakini wa kufanya build up na mwenye uzoefu wa ligi ndio maana tunamtaka Maxence LacroixBastoni ni beki mzuri na mwenye uzoefu, fuatilieni ligi mbali mbali msiishie epl tu.