lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,032
Chelsea na Leverkusen wako karibu sana kukubaliana kuhusu usajili wa Kerim Alajbegović, kinda wa miaka 18 ambaye atakuja kucheza winga wa kushoto.
Pia nasikia AS Roma wanamtaka Jamie Gittens, japokuwa hauzwi ila ujio wa Kerim Alajbegović unaweza kumlazimisha kuuzwa au kwenda mkopo.
Pia nasikia AS Roma wanamtaka Jamie Gittens, japokuwa hauzwi ila ujio wa Kerim Alajbegović unaweza kumlazimisha kuuzwa au kwenda mkopo.