Joao Pedro
Senior Member
- Oct 21, 2025
- 172
- 216
Ngoja tusubir kuona mwisho wakeKlabu za mpira kwenye trasnfers ni kama wachumba wanaoachana na kurudiana. Usidanganywe nna Statement kubwa waliyotoa. Danganya toto hiyo. Msichana unayempenda huwezi mwacha hivi hivi hata kama mkiachana kwa kuapa.