Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Welbeck au sio.....?
Mtitakiwa striker ambaye atakuja kutishia namba ya Pedro......

Au mmeangalia cheap option?? Wacha tuone
 
Welbeck au sio.....?
Mtitakiwa striker ambaye atakuja kutishia namba ya Pedro......

Au mmeangalia cheap option?? Wacha tuone
  1. Uzoefu
  2. Uongozi
  3. Uadilifu
Kutana na mzee Welbeck msimu uliopita alikuwa na magoli 13
1785161658633.png
 
Kwenye uzoefu pia naona ni kigezo kikubwa cha alonso kumtaka Welbeck....achana na mambo ya bei ama mshahara!

Sasa hivi soko limekuwa gumu hasa kuanzia kiungo kwenda mbele .... mchezaji wa kawaida utapigwa hela ndefu na atataka mshahara mkubwa ......

Diomande over €100m ? Soko limekuwa hivo lembu
 
Welbeck au sio.....?
Mtitakiwa striker ambaye atakuja kutishia namba ya Pedro......

Au mmeangalia cheap option?? Wacha tuone
Joao Pedro kwetu ni striker no 1 wetu ni kama Hallaand pale Man city kwahiyo na ukizingatia Joao Pedro sio injury prone ndio maana tunamleta Danny Welbeck kuwa kama Back up wake Kwanza ni mzuri na anafunga decision goals mara nyingi, Pili ni mzoefu na anaijua ligi vizuri kafunga big six wote
 
Welbeck aisee!!! tutaservive kweli EPL.
Unaikumbuka Madrid wanachukua Eufa champions league na yule mchezaji wao Joselu kutokea bench? Baada ya msimu huo akakimbilia Uarabuni, mpira inahitaji ujanja ujanja.

Kwangu mimi Welback ni back up ya uhakika. Kuna position kama forward na backline hutakuwi kuwa na young players wote.
 
Jordan Henderson tena aisee? Wa nin? Umri umeenda !!! Sema nini ? Xabi naona anataka watu viongozi na wazoefu EPL......baada ya kumkosa xhaka akajaa kwa Jordan

Pambaneni sasa mumpate
 
Jordan Henderson tena aisee? Wa nin? Umri umeenda !!! Sema nini ? Xabi naona anataka watu viongozi na wazoefu EPL......baada ya kumkosa xhaka akajaa kwa Jordan

Pambaneni sasa mumpate
Hata kama uzoefu, ila sio kwa henderson!! mchezaji mgumu kama jiwe, alipogeukia ndio huko huko anatoa pass, kwa henderson hapana aisee, huyu Alonso sio kaja kuhakikisha tunaenda championship kweli? Liva special Agent
 
Nasikia na Tom Heaton baye tutasikia HERE WE GO. Golikipa mzee wa miaka 40 kutoka Manchester United, Huyu sina shida naye nilisikia tangu mwanzoni wma mwezi huu kwamba Chelsea wanataka kumsajili Golikipa veteran wa England atakayekuwa choice namba tatu baada ya Robert Sanchez, Mike Penders.
1785183021897.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom