lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,032
Ila pesa tumepokea 🤣 .Sio mchezaji wetu huyo minywele mavuu
Marc Cucurella 💇♂️pekee ameipatia Chelsea takriban £250,000 kupitia FIFA Club Benefits Programme baada ya kufika fainali na kutwaa Kombe la Dunia 🏆.
Chelsea ilikuwa na wachezaji 11+ kwenye Kombe la Dunia 2026, na klabu ikaingia kwenye Top 6 za vilabu vilivyopokea malipo makubwa kutoka FIFA. Wachezaji waliowakilisha ni:
- Marc Cucurella — Spain ilitwaa kombe
- Enzo Fernández — alifika fainali
- Reece James — alicheza vizuri
- Moisés Caicedo — nahodha; alipita makundi
- Malo Gusto
- Trevoh Chalobah
- Kendry Páez
- Pedro Neto
- Nicolas Jackson
- Mamadou Sarr
- Mike Penders
- Jorrel Hato — walitolewa mapema
Vilabu vingine vilivyofaidi posho ya FIFA World Cup ni:
- Manchester City — £2.62 milioni
- PSG — £2.12 milioni
- Arsenal — £2.05 milioni
- Bayern Munich — £1.96 milioni
- Barcelona — £1.87 milioni
- Chelsea — £1.80 milioni