lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,032
Risk iliyoko kwa mchezaji wa 34 kwenye resale value ni 99%Hivi mkuu ulikuwa unafuatilia ligi ya Uingereza au ulikuwa unacheki mechi za Chelsea pekee? Ungekuwa umefatilia ligi ya Uingereza usingeongea hivyo msimu uliopita kati ya top 5 ya midfielders waliofanya vizuri jina la Xhaka litakuwepo
Kumnunua kwa pesa nyingi ni kujiinjgiza kwenye risk hiyo. Normally wachezaji kama hao wanasajiliwa bure. Hii ya mil 8 ni kwa sababu tu Chelsea ilitaka kumsajili akiwa na mktaba bado. Vinginevyo hata kama yuko kwenye form nzuri alitakiwa kusajiliwa bure na kupewa mkatabwa mwaka mmoja mmoja kama Thiago Silva tulivyofanya