Kuwa mshabiki sio kupinga kila kitu kwa team pinzani kwa hapa mwamba umeonesha uungwana wa Hali ya juu umeongea kimpira Zaidi hivyo ndivyo inavyopaswaHakumsikia kuwa sisi tunamipango ya kumsajili Rogers? Au mlisikia na bado mkaamua kutuzidi dau? Naona bado hamtaki kuacha tabia ya kuingilia dili zetu.
Hongereni lakini. Rogers ni mchezaji mzuri.