kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,974
- 21,221
Ninyi mngeajiriwa na Chelsea mtakuwa bonge la SD, mnajua sana kandanda na uskauti wa wachezaji 😂 😂 😂
Unatetea matakataka humu, unAkuwa against wenzako , mwisho wa siku unaumbuka !
Kwa uchache .....
Pochettino
Potter
Rosemary
Lampard
Maresca......
wachezaji .. kina hato, garnacho, delap, Neto, etc! Wewe unajulikana kwa kusifia ujinga baadae unaumbuka !!!!! Ujujuaji mwingi kumbe amna kitu